Jamaa kalambaa dv anataka ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa kalambaa dv anataka ushauri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kichaa1972, Jul 24, 2009.

 1. k

  kichaa1972 Member

  #1
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watz wenzangu jamaa kalamba dv visa pre selected anaombeni mwanasheria anayeweza kumsaidia maana issue imekaa kama mlima kitonga unajua tena sheria za nchi za watu bwana ,
  Asanteni
  kichaa
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  breaking news: awe specific anataka ushauri wa namna gani?
   
 3. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2009
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Pre Selected, sijawahi kusikia hiyo. Awe mwangalifu isije ikawa wa West wanataka kuingiza mtu mjini.
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ushauri wa bure huu hapa
  LEGAL AGE OF CONSENT

  STATE AGE
  Alabama 16
  Alaska 16
  Arizona 18
  Arkansas 16
  California 18
  Colorado 15
  Connecticut 15
  D.C. 16
  Delaware 16
  Florida 16/18 (bill pending)
  Georgia 16
  Hawaii 14
  Idaho 14
  Illinois 16/17
  Indiana 16
  Iowa 18
  Kansas 16
  Kentucky 16 - [1]
  Louisiana 17
  Maine 16
  Maryland 16
  Massachusetts 16/18
  Michigan 16
  Minnesota 16
  Mississippi 16 - [2]
  Missouri 17
  Montana 16
  Nebraska 16
  Nevada 16
  New Hampshire 16/18
  New Jersey 16/18
  New Mexico 17
  New York 17
  North Carolina 16
  North Dakota 18
  Ohio 16
  Oklahoma 16
  Oregon 18
  Pennsylvania 16
  Rhode Island 16
  South Carolina 14/16
  South Dakota 16
  Tennessee 18
  Texas 17
  Utah 16/18
  Vermont 16
  Virginia 15
  Washington 16
  West Virginia 16
  Wisconsin 18
  Wyoming 16
  Puerto Rico 18  FOOTNOTES:
  [1]Age 16 if the man is 21 or older.
  [2]If the female is over 12, the status applies only to virgins.
   
 5. k

  kichaa1972 Member

  #5
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anataka ushauri wa kisheria bwana.si unajua utata wa mambo haya mwanangu wewe kama kuna mwanasheria wewe tupatie tuhangaike naye
   
 6. k

  kichaa1972 Member

  #6
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  najua watz wanjua kufikiria mambo ya utapeli si tanzania hapa jamaa amekula hiyo visa mwanagu anatafuta mwanasheria
   
 7. k

  kichaa1972 Member

  #7
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko nje ya topic bwana
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wewe naawe hueleweki.....msada gani wa kisheria anataka? jinsi ya kupata visa aau nini? hebu weka sawa
  pili hio dv yake kama katumiwa kwa email ajue ni famba.......
   
 9. k

  kichaa1972 Member

  #9
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anataka kupata hiyo green card bwana ndoo mambo lottery hayo
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  aaisee kazi kweri kweri......ni hivi kama li apply yeye mwenyewe naa ktumiw mtokeo kw njia ya posta basi ajue kashinda....na kama kapata ile nofication basi kuna maelezo yote mule ndani cha kufanya hakuna cha mwanasheria wala mhandisi wala form 6 kusaidia hapo.......aende ubalozini atapata maelezo yoote
   
 11. k

  kichaa1972 Member

  #11
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iko complecated zaidi ya hivyo mwannchi wangu jamaa ako hapa amemaliza shule na vidoiido vyake unatakiwa uwe hivi na vile hapa si unajua vinginevyo angekwenda bila shaka kuchukua bwana
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu ulifaulu darasa la 7? sikuelewi kabisa una maanisha nini......
   
 13. k

  kichaa1972 Member

  #13
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilifaulu la saba na kuendelea sanaaa ansante.
  katumiawa kwa njia ya posta amechagulia kwa hiyo green card lakini si unajua mambo ya kubobea hapa umemaliza shule unatakiwa kwenda kwenu kijijini bwana ndoo issue iko hapo
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hongera kwa kufaulu.....
  kama nimekuelewa ni kuwa jamaa wako yuko majuu,sindio? so kalamba kijani anataka kuendelea kukaa huko,au ikoje?
   
 15. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kichaa1972,

  "DV Visa" ndio nini?
   
 16. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,126
  Likes Received: 23,735
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa haitaji mwanasheria wala nini, nini asichoweza kujaza kwenye hiyo form, income yake ya mwaka na tax aliyolipa?. Kama hajawahi kwenda US kwa maana hiyo hana SS# kwa hiyo hapo hajazi kitu. Mwambie asijaze habari za kizushi kwenye hizo form, vinginevyo atalala ngoma.
   
 17. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yo Yo
  Umeshamuelewa huyo kichaa anataka mwanasheria kwa ajili ya nini hasa?

  Nimefuatilia mtiririko lakini inaonekana jamaa kujieleza ni kabla ya namba 1.
   
 18. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Kichaa1972 Maelezo yako mbona Tata?Ina maana huyo Jamaa yako yupo USA na kacheza Lottery Visa (DV-1) akafanikiwa au vipi?........Kama ni hivyo kwa ujumla hali itakuwa ngumu kidogo! Kutokana na maelezo yako,kama nimekuelewa vizuri ina maana jamaa alimaliza shule yake na baadaye akaishi bila visa,visa yake (F1) inakwisha mara baada ya kumaliza shule.

  Kwa ujumla ukiwa ndani ya USA hawa-process hiyo DV-1 visa,akiwasiliana na watu wa Immigration watamshauri arudi kwenye domicile Country ili afanye process huko,kitu kikubwa wanachokiangalia ni vipi uliishi USA,kama hata kwa siku moja uliishi visa ikiwa ime-expire ujue utakuwa disqualified.
  Ikiwa ulikuwa unaishi na valid Visa hakuna tatizo watakushughulikia na baadaye utafanyiwa Medical Examination,kulipa visa fee na kuruhusiwa kuingia kwa DV-1 visa.

  Ikiwa umepata barua kutoka Visa Center NH ujue kuwa umeshinda..kinachotakiwa ni kutayarisha documents zako na kungoja siku ya appointment Ubalozini...Ifuatilie vizuri hiyo barua kila kitu kimewekwa wazi kwenye barua hiyo.

  Jambo muhimu na mara nyingi ni kikwazo kwa wengi, ni lazima umtafute mtu ambaye yupo Marekani atakuwa (Mdhamini) sponsor wako...Kumbuka mtu huyo awe na kipato cha zaidi ya $ 15,000 kwa mwaka ($12,000 Federal poverty line + $3,000)...atakuandikia barua yenye contacts zake na kuwaeleza Ubalozi kuwa utafikia kwake mpaka utakapopata SS# yako.
   
 19. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwanza kabisa hongera zake Msafiri. Yuko bongo, US au nchi gani?

  Amepata barua ya kwanza au ile ya pili inayokuja mwezi mmoja kabla ya interview? I believe the interviews begin in October if this hasn't changed.

  Akienda kwenye interview anaweza kuulizwa kuhusu affidavit of support I - 134 (a US based sponsor with tax returns and a fat W2 would settle this, a Tanzanian bank statement is also acceptable I belive, not sure), keep eyes fixed on the visa bulletin, have all your educational credentials (only up to O level certificates, anything more looks nice but is not required) resumes, medical records, birth and marriage certificate(s) as applicable, police certificate saying you are not a criminal (kama upo Dar nenda makao makuu ya home affairs pale mtaa wa Ghana) passport, all their correspondence including the appointment letter, ready

  And above all have their $755 at the ready.

  Halafu kwa sasa hivi google should this guys friend, doing research, getting all the documents in order etc

  Kuna forum wanatoa experience zao za interview hapa

  Kama ana maswali specific alete tutafanya some webcrawling pamoja.

  Again hongera zake msafiri.
   
 20. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Diversity Visa aka Green Card!
   
Loading...