Jamaa kafanywa mbaya kwa wizi wa bomba la Maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa kafanywa mbaya kwa wizi wa bomba la Maji

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 16, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wamem roast!? ama?
   
 3. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  haya bana naona mwisho wetu haupo mbali kuzidiwa akili na wanyama mwitu,nchi ingeongozwa kwa haki yasingalitokea haya.
   
 4. awp

  awp JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  huwa naumia sana nafsi yangu nikiona hii kitu
   
 5. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  This is untorerable cruliety! Ha!
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Cmuwachome mafisadi papa jamani,
  Hao ndio wanaleta hali ngumu kwa hawa jamaa wanashindwa kwenda shule vitabu hakuna wala dawati mafisadi wamekomba pesa za wa TZ.

  Hawa wadokozi mngekuwa mnawacharaza viboko tu, hiyo adhabu ni kubwa sana aliyopewa!
   
 7. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Nilidhani kakojolea msahafu, kumbe kafanya kama wale watu wema walioiba kompyuta na jenereta la kanisa.
   
Loading...