Jamaa avamia shule na kutaka kubaka walimu, adhibitiwa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Alivamia shule ya msingi na kumkumbatia mwalimu kama anataka kufanya naye mapenzi, walimu walipiga kelele ila hakuna mwananchi aliyekuja kuwaokoa, ila walimpiga fimbo na kumfungia chooni, huko chooni akaharibu vitu

maafisa wa serikali ya mtaa waliitwa na wakamchukua

 
Shule ina walimu wa kike tu na wanafunzi wa kike tu?

Anyway si 50/50 wasilalamike wapambane nae tu.

Mwanaume mmoja tu na wao wako waalimu zaidi ya moja wa kike, kama kweli dhana ya usawa ipo wanashindwa nini kipambana na hali zao
 
Back
Top Bottom