NAKUPINGGA...kiongozi unaonaje kuwa kama mboga ikiiva ukihihifadhi kwenye vyombo maalum vya kuhifadhia mboga kama hotpot...ama countainer....? nadhani sio lazima mboga ibaki kwenye sufuriaTheoretically sawa,ila kiuhalisia haikubali hiyo.
Hiyo sufuria inacomplicate hasa.
Maana utapika mboga itaiva huku ugali bado kuiva,hiyo itakufanya ushindwe kuipua mboga kwa sababu ugali haujaiva,
kitendo cha kuzidi kuacha mboga hiyo jikoni inazidi kukauka(kukakamia) na mwishowe kukauka kabisa na mchuzi wote kupotea hata kuungua,hiyo ni hasara kubwa sana.
na wakati wa kupika ugali wako huku upande ungine una chakula kingine kwanza wakati wa kusonga hapo hapatakuwa na ile balance kwa sababu sufuria haina shape ya mduara,itakuwa ngumu sana kusonga ugali
Labda sufuria hiyo upikie vykula ambacho vitaiva kwa pamoja.
Inayoiva unaichota unahamishia kwenye chombo kingineTheoretically sawa,ila kiuhalisia haikubali hiyo.
Hiyo sufuria inacomplicate hasa.
Maana utapika mboga itaiva huku ugali bado kuiva,hiyo itakufanya ushindwe kuipua mboga kwa sababu ugali haujaiva,
kitendo cha kuzidi kuacha mboga hiyo jikoni inazidi kukauka(kukakamia) na mwishowe kukauka kabisa na mchuzi wote kupotea hata kuungua,hiyo ni hasara kubwa sana.
na wakati wa kupika ugali wako huku upande ungine una chakula kingine kwanza wakati wa kusonga hapo hapatakuwa na ile balance kwa sababu sufuria haina shape ya mduara,itakuwa ngumu sana kusonga ugali
Labda sufuria hiyo upikie vykula ambacho vitaiva kwa pamoja.
HehehInarahisisha kwenye upande wa mboga pia unaeza kupika wali afu hapo hapo ukachemsha chai,
Unapika mboga huku upande wa pili anachemsha maji ya kukoga watoto
Ni kweli mkuu kwa hivyo inakuwa rahisi sana ila kwa hiko chombo kilivyo mfano mchuzi ukiiva hapo huwezi kuhamishia kwenye chombo kingine alafu kile kisehemu kikabaki hakina mchuzi,kuna mchuzi utabaki ambao huo mchuzi utaanza kuungua na kusababisha kuharibu sufuria.Inayoiva unaichota unahamishia kwenye chombo kingine
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Wazo zuri hasa kwa maskini
Haha mkuu umewaza nini !Ni nzuri kwa familia zenye mchanganyiko wa waislam na wakristo.
Upande mmoja unapika samaki upande wa pili kitimoto
😂😂😂Nimekatiza kwenye mtandao huko nimekutana na hii kitu. Inaokoa muda na inapunguza matumizi ya nishati. Ingawa ypo ya kuzingatia kwenye upishi huo
View attachment 1980686