Jamaa apanda juu ya mnara na kugoma kushuka

Option 1. Chukueni Shehe amsomehe HITMA hapo chini alafu akimaliza mwambieni aruke.

Option 2. Waitwe mafundi waanze kuufungua huo mnara aanguke nao.

Option 3. Mtungueni na manati muone kama atakwepa mawe! akikwepa mjue anatishia nyau achaneni nae endeleen kuchapa kazi za maendeleo baadaye atashuka na kukuta maisha magumu zaid
 
umeniacha hoi sana hahaha
 
Option ya tatu nimeipenda sana!
 
Simplified! DSC_081011.jpg
 
atafutwe dumu mwenye figa uswahilini ajengewe kapaspot size fasta chini ya huo mnara, muwekeeni maji ya kuoga huyo dem muacheni aoge humo kwa tarrrrrtiiiibu huku huyo mgomi akiangalia, mtamuokoa ndugu yenu kirahisi.

ONYO
msionyeshe kuangalia wala kufuatilia tukio hilo mapaka atakapokuwa ameshuka.
 
Clouds fm wametangaza:amesema hashuki mpaka rais kikwete aende akamsikilize shida yake.

Inadaiwa amedhulumiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom