Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,449
- 574
anasema maisha magumu. ni ubungo stand ya mkoa mnara uliopo TBS
source: HUNIJUI
View attachment 129561
source: HUNIJUI
View attachment 129561
anasema maisha magumu. ni ubungo stand ya mkoa mnaa uliopo TBS
source: HUNIJUI
Option 1. Chukueni Shehe amsomehe HITMA hapo chini alafu akimaliza mwambieni aruke.
Option 2. Waitwe mafundi waanze kuufungua huo mnara aanguke nao.
Option 3. Mtungueni na manati muone kama atakwepa mawe! akikwepa mjue anatishia nyau achaneni nae endeleen kuchapa kazi za maendeleo baadaye atashuka na kukuta maisha magumu zaid
Option ya tatu nimeipenda sana!Option 1. Chukueni Shehe amsomehe HITMA hapo chini alafu akimaliza mwambieni aruke.
Option 2. Waitwe mafundi waanze kuufungua huo mnara aanguke nao.
Option 3. Mtungueni na manati muone kama atakwepa mawe! akikwepa mjue anatishia nyau achaneni nae endeleen kuchapa kazi za maendeleo baadaye atashuka na kukuta maisha magumu zaid
Teh teh teh!kumbe mwaka mpya huwa unakuja kwa mbaaalii!Labda anataka kuwa wakwanza kuuona mwaka mpya ukiwa unakuja kwa mbaaalii?
Option ya tatu nimeipenda sana!
anasema maisha magumu. ni ubungo stand ya mkoa mnaa uliopo TBS
source: HUNIJUI
njaa na kiu ikiwa kali atashuka tu
Basi atakua kakumbana na ongezeko la kodi ya nyumba huyo.Yupo busy anauzuia mwaka usiishe
Mkuu huu utakuwa ukatili wa hari ya juu sana!!
!
na akifika chini mnamtandika kwelikweli