Jamaa anatudai bwana

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,002
Dhambi za madeni hamna tofauti na uhujumu uchumi.

Nimemsikia mchezaji wetu leo golikipa akiomba radhi.

Alienimaliza na meneja wake bana jama amemaliza mkataba mpaka sasa awajakaa.Nae wanazingua doh.

Kwanza niombe yanga tuachame na laana za.Madeni jamani tuchoke kudaiwa kabisa kila siku wanafamilia hawa jamaa.

Tumsamehe kunamengi yanachangia matukio uwanjani.

Tumlipe haki zake
 
Utopolo katimu flani cha hovyo sana, hata sijui mnakapendea nini, hao GSM nao matapeli tu wanawatumia kwa biashara wakiwachoka watawaacha hapo hamjiwezi.

Simba nguvu moja.
 
Utopolo katimu flani cha hovyo sana, hata sijui mnakapendea nini, hao GSM nao matapeli tu wanawatumia kwa biashara wakiwachoka watawaacha hapo hamjiwezi.

Simba nguvu moja.
kama MO anavyoitumia simba kwenye biashara zake
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom