Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
[h=6]Jamaa anapiga simu ofisi ya Makumbusho ya Taifa: "Haloo, hapo ni Makumbusho ya Taifa?" OFISI: "Ndio, tukusaidie nini?" JAMAA: "Ok, naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipoteza wapi?" OFISI: "Pumbavu! Hiyo sio kazi yetu..!" JAMAA: "Sasa makumbusho mnakumbusha nini?" OFISI: "Tunahifadhi mambo ya zamani." JAMAA: "Ahaa... kumbe saa yangu mtakuwa mnayo..!"[/h]