Jamaa anaona nini hapa?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,198
6,272
kiliositta.jpgSource: Mwananchi 11/11/2010
 
Ukisikia mafisadi kaa mbali kabisaa, wanaweza kufanya chochote wakiamua, haya ona sasa wanamuweka spika wanayemtaka wao, ilimradi kuficha mambo yao, yani hawako kimsaidia mlala hoi bali ni maslahi yao tu kwanza. na kazi kubwa ya spika mpya ni kuhakikisha anawasafisha mafisadi ili wagombee urais 2015. "Titakuja toana loho mchanamchana aisee":nono::nono:
 
Ndo anagundua kuwa wenzie wamdmstukia, ufisadi aliuanzisha yeye akaupakazia kwa wenzie sasa umemrudi.
 
pole mzee sita,
binafsi sijafurahi mzee sita kuondolewa na pia sijachukia. nilikuwa namchukia sita kwa matumizi mabaya ya fedha zetu, jaribu kufikiri katumia 500 m kujenga ofisi ya spika jimboni kwake, nani kaizinisha pesa hizo? ni nani alimwambia atakuwa spika milele mpaka kujenga jengo lisilohamishika huko tabora. haya nafasi ya uspika kaikosa vp kuhusu hiyo ofisi ya spika?
inabidi apelekwe mahakamani kujibu tuhuma za kufuja mali ya uma
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom