Jamaa anaomba msaada!!

Bollo Yang

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
440
50
Katika pita pita yangu kwenye mablog mbali mbali nikakuta hii kitu, nikaone niitupie hapa jamvini watau watoe ushauri!
Boss alivyonipa kazi na kunitoa bikra ya tigo, sasa nateseka nisaidieni tafadhali ...

Mimi tatizo langu kaka ni hii:-
Nilienda kuomba kazi katika kampuni moja ambayo ipo hapa mjini dar es salaam.
nilipofika nilielekezwa kwa meneja wa kampuni nikafika ofisini kwake nakumweleza shida yangu kwamba natafuta kazi aliniuliza una elimu gani ?nikamwabia nimeishia darasa la saba akaniambia uwezi kupata kazi kwani elimu yako ni ndogo nikamwambia nitafutie yoyote kwani hali yangu.

siyo nzuri akasema nirudi nyumbani alafu nije tena kesho ilipofika kesho nikaenda akaniambia umefanikiwa kupata kazi ya umesenja,ila utafanya kwa mkataba, nika mshukuru sana nilikuwa na elfu mbili kwa ajili ya nauli pamoja na chakula lakini kwa kutokana nafuraha niliokuwa nayo kwahajili yakupata kazi nilizitowa nikampa huku nikishukuru.

yule meneja akasema hapana chukua pesa zako mimi nimeamua kukusaidia akachukua shilingi elfu tano akanipa akasema iyo itakusaidia katika nauli nenda uje kesho kuanza kazi nikamwambia nashukuru sana nikaondoka kesho yake nikaja kuanza kazi nikafanya kazi kama siku tano aka anza kunisifia kwamba nafanya kazi vizuri nilivio endelea tena aka anza kunitania kwamba mimi ni mzuri mungu amenipendelea na kadhalika sikuweza kumjibu kwani nilikuwa bado ni mgeni ninaogopa hata hivyo sikujua analengo gani na mimi ilipofika siku ya siku aliyokuwa ameipanga yeye mwenyewe ulipofika muda wa kuondoka nyumbani aliniita ofisini kwake na kusema kuna barua ambazo anamalizia kuziandaa hivyo nisubiri ili anikabidhi kwani kesho hata kuwepo ilibidi nisubiri kisha zilipokuwa tayari aliniita ili nikazichukuwe na mle ndani nilikuwa nimebaki mimi na yeye tu.

nilipoingia akanyanyuka nakwenda kufunga mlango wa ofisi yake nakunifuata pale nilipokuwa nimekaa akaniambia nakupenda sana
nikamwambia mimi sipendeki kwani jinsia zetu ni moja akaniambia usijali mimi nimekupenda hivyohivyo huku akini shikashika kila sehem na kunilambalamba nakunipiga busu nakunipa pesa nakunipa ahadi ya mambo yangu yatakavyokuwa mazuri nakusema atanijengea nyumba wakati akisema hayo yote mikono yake yote ilikuwa bado inashughulika kiasi kwamba nilijikuta nimesha legea na tayari amesha nivua nguo zangu
bila kujuwa nilijikuta nasikia maumivu sehemu angu za nyuma kumbe tayari ameshafanikiwa kuingiza basi ilibidi nivumilie mpaka akamaliza kisha akaniomba
msamaha na kusema pole sana nakupenda akaniahidi kunifanyia mambo mengi makubwa basi tuliendelea nahiyo hali kwa baadae nilikuja kuzoea nikawa sisikii maumivu nikawa nikifanyiwa hivyo naona raha!

sasa huyu bwana akaja kuamishwa kikazi akapelekwa mwanza, toka aondoke ni miezi saba na pata shida sana yani nikianza kuwashwa nakosa amani kabisa wakati mwingine nakuwa kama nimechangayikiwa, naomba msahada wako nifanyeje hii hali iwezekwisha??

Mmmh jamani wapendwa msaada tutani .......


Source; http://mwakilaga.blogspot.com/2010/02/boss-alivyonipa-kazi-na-kunitoa-bikra.html
 
Holy crap...

Labda amfate tuu jamaa yake huko mwanza... au atafute mwingine...
 
inasikitisha lkn angeacha siku ile ile na kazi basi kuliko kuendelea kwani kazi zimeisha pole yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom