Jamaa anaomba maujanja

chelsea fc

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
864
211
habarini wazee wa jamvi
nina mchizi wangu anakademu kake kapo hot sana,anavodai,yaani kanamzuka sana kwenye mambo yetu ya 6x6 ila tatizo mchizi akiingiza tu anamwaga?sasa anaomba maujuzi kwa kumfanya aweze kupiga game ili hali achelewe kumwaga kabla ya kademu kake!wenye maujanja tumsaidie,maujanja niliyompa kayashindwa (kukimbia km 3 kila siku,pushup kwa wingi)

eeeheee hee haya twende sasa,
 
hahaha huyo atakuwa anapagawa na mwili wa huyo goma ndio maana wazungu hawachelewi kutoka....hahaha asiwe na presha baada ya muda atamzoea huyo goma na mambo yatakuwa sawa tuu
 
Mwambie mshikaji amuandae demu mpaka akikaribia kumaliza ndipo mshikaji aingize mzigo wake hapo wataenda sawa
 
ueminikumbusha mabli sana,wakati nipo chuo miaka ya tisini hv!nilikuwa na mchizi mmoja room yetu,alikuwa anakula goma moja tulikuwa tunasoma nalo class akawa anatuadisia akimpa mambo yanamuingia yule goma mpaka goma linatoka nje kwenda kuvuta sigara duuuuh!
 
Mwambie mshikaji amuandae demu mpaka akikaribia kumaliza ndipo mshikaji aingize mzigo wake hapo wataenda sawa

anavyodai akifanya hivyo demu ye anapiz km kawa,ila ye anataka apizi bamia ikiwa ndani ya mashine......
 
ushaambiwa akimuona mlingoti hewani sasa amuandae si atamwaga zote ziishe.....m naona ajipige pu..to sana kabla haajenda eneo la tukio

haahhaa wewe kama demu is hot ata upige nyeto namna gani bado ukimouna tuu kitu kinamwaga
 
Hahahahahahaha
umenichekesha sana

ueminikumbusha mabli sana,wakati nipo chuo miaka ya tisini hv!nilikuwa na mchizi mmoja room yetu,alikuwa anakula goma moja tulikuwa tunasoma nalo class akawa anatuadisia akimpa mambo yanamuingia yule goma mpaka goma linatoka nje kwenda kuvuta sigara duuuuh!
 
samahani sana sina nia ya kuhoji kwann umeleta bandiko hapa, lkn nakuona wewe u mtu ambaye ni mkongwe humu jamvini sasa kweli hua husomi mabandiko ambayo wenzio walishatoa kwa matatizo kama haya? kuna siku mzizimkavu kaongelea swala hili kitabibu sana tu, n wengine tukachangia sasa kwann huendi kwanza kupitia?? anyway ni mtazamo wangu tu nisamehe kama nakosea
 
Kabla sijashauri naomba nijue kitu kimoja,,huyo bidada ana tabia ya kumtia jamaa kidole kwenye 0713,,yake ili kumpa mcharuko??

Then nitarud hapa punde si punde kwa ushauri maridhawa...
 
Ushauri mwingine ni wakienyeiji zaidi lakini wenzio hua tunautumia hali kama hiyo ikiwa inatutokea.
  • Apige mbili kwa moja....hii inahitaji uwezo na ujasiri! Ni hivi, wakati ana'pump na ana hisi wazungu wanataka kuja, eitha atoe shobobo kwenye K (bila ya kukamua,bila kufanya chochote) wazungu watatoka lakini raha hatosikia....lakini shobobo halitolenda halftime au akihisi wazungu wanakuja asi'pump tena, atulize shobobo hukohuko kwenye K, wazungu watatoka taratibu....hali kadhalika hapa napo raha hatosikia...ila ngoma haitolala na ataendelea na mzigo kama kawaida.
  • Halafu kuna hii dawa ingine....unachanganya maziwa na konyagi (kwa kiwango chako).....la kwanza linaweza lije fasta tu kama kawa, lakini dem akiwa mjanja akauamsha mshobobo baada ya hapo, hasa akikunyonya nipples (ya kushoto kiboko)....nakwambia mshobobo ukiamka, wazungu wanaweza wasije hata masaa 5, maana maji yanakauka.....yanarudi tena....tumia mate...tumia unachokijua...maana lol.....baadae mshobobo lazima uwe kama umewekwa pilipili.....michibuko. Ushibe kwanza lakini.
  • Unaweza uchanganye njia ya kwanza na ya pili kwa pamoja.........dho unatakiwa uwe fiti pia, ....uwe unafanyga mazoezi walau kila mara.

Kibanga Msese
 
habarini wazee wa jamvi
nina mchizi wangu anakademu kake kapo hot sana,anavodai,yaani kanamzuka sana kwenye mambo yetu ya 6x6 ila tatizo mchizi akiingiza tu anamwaga?sasa anaomba maujuzi kwa kumfanya aweze kupiga game ili hali achelewe kumwaga kabla ya kademu kake!wenye maujanja tumsaidie,maujanja niliyompa kayashindwa (kukimbia km 3 kila siku,pushup kwa wingi)

eeeheee hee haya twende sasa,

....'weak bladder'....utotoni alikojoa sana kitandani huyo. Ajifunze kubana na kuachia haja ndogo, baada ya wiki ataanza kuona mabadiliko.
 
Back
Top Bottom