Jamaa anamfuatilia mke wangu

Ukizubaa uta chapiwa tu hapo huna ujanja..piga biti kaliii uyo jamaa kama vipi wekea mtego ajae site afu mpakeni tu ata mafuta ya kula tu then mmuache aende akirudia tena nishtue
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa.

Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio amerudi na kuanza kumsumbua huyu mke wangu.

Mimi kazi zangu ni za kusafiri kwahiyo muda mwingine nakuwa sipo nyumbani, hata baada ya mke wangu mimi kuzaa naye watoto jamaa bado tu hakomi

Nifanyeje?
Mtafute umkanye...... Atazidi kuleta mazoea

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom