Jamaa anaenda Kusaga Mahindi, kumbe hii mambo bado ipo Bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa anaenda Kusaga Mahindi, kumbe hii mambo bado ipo Bongo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Sep 13, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,263
  Likes Received: 703
  Trophy Points: 280
  Hii mbona kawaida sana jombaa? Kwa mjini ni ngumu kuona hii coz mnanunua kila kitu madukani, mpaka teabags za uji..
   
 3. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,083
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  Safi! Hapa ni Kwetu Tukuyu nini?
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,402
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  anaenda kusaga kimea apike kyindi
   
 5. a

  adolay JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 6,609
  Likes Received: 1,404
  Trophy Points: 280
  Mkuu sio kwetu loya - tabora vijijin, maana ccm imekufisadi sanaaaa....!!!
   
 6. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,200
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  hii kaka ipo sana saaana tu!
   
 7. a

  adolay JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 6,609
  Likes Received: 1,404
  Trophy Points: 280
  Hapana nitakata rufaa sio tukuyu, tumefisadiwa sana Lutona na Loya, ccm bana - halafu wanasema maisha bora kwa kila mmoja wetu! Anamaisha bora huyo jamaa au bora maisha?
   
 8. a

  adolay JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 6,609
  Likes Received: 1,404
  Trophy Points: 280
  Tena kule viti ni magogo ya miti, milango ni mabanzi ambayo mbao zake zinaibwa na mafisadi, sis kule mifugo na wanadam tunachaingia maji ya kunywa aisee! Maisha magum ni noma.
   
Loading...