Jamaa amnasa vibao afisa uhamiaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa amnasa vibao afisa uhamiaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyadhiwa, Feb 7, 2011.

 1. Nyadhiwa

  Nyadhiwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kaka mmoja mwenye asili ya Somalia, raia wa Kenya anayesoma nchini Malaysia, wiki iliyopita alijikuta akizua zogo kwenye ofisi ya uhamiaji. Tukio hiko lilitokea mida ya asubuhi baada ya kaka huyo ( anajiita Mzee) kumpatia passport mhudumu (dada) naye akaipokea passport kwa kutumia tissue paper

  Kaka huyo alishikwa na hasira sana kwa kitendo hicho ndipo akaamua kumchapa vibao dada huyo mwenye asili ya kihindi kwakuwa alionesha dharau kwa mteja huyo (mzee)

  Mzee alikamatwa na polisi akawekwa mahabusu siku 3 kisha uongozi wa uhamiaji ukaamua kuitisha kikao ili wamsikilize kijana huyo. Ndipo alipowaeleza kuwa alilazimika kufanya vile kwakuwa nchi yake yenye heshima ilidhalilishwa na huyo dada.

  Uongozi ukaamuru kijana huyo(Mzee) aachiliwe huru kwakuwa mhudumu alikosea sana kushika kwa tissue paper passport ya mteja.

  Kwa bahati mbaya tuliokuwepo tukisubiri huduma hiyo tulifurahiswa kwa kitendo hicho cha kumnasa vibao hali ilopelekea kutohudumiwa kwa siku ile na kuambiwa twende siku ilofuata.
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  poleni, huajeleza ofisi za uhamiaji za wapi Malaysia au hapa bongo? nampa big up kwa kumfundisha adabu hata kama kakaa mahabusu siku tatu lakini kaitetea nchi yake.
   
 3. Nyadhiwa

  Nyadhiwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ilitokea Malaysia siyo Tanzania
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  safi sana tena sana aijalishi kuwekwa sero 3
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Safi sanaa :first: ila inaonekana hiyo ofisi haina kinga ya wafanyakazi wake mpaka mtu anakunasa kibao duh, mbona nchi nyingine ofisi za uhamiaji kunakuwa na kioo na kijisehemu hata mkono kupita ni shida??
   
 6. Nyadhiwa

  Nyadhiwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa kitendo kile ametupa heshma wa Africa maana tukipita mitaani tunaulizwa kama Mzee ni kaka yetu...NAsi tunajibu ndiyo
  Full kutuogopa siku hizi!
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sijaelewa safi sana story au kitendo cha kukataa kuvunjiwa heshima!!!!:A S-omg:
   
 8. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kitendo cha kukataa kuvunjiwa heshima. Hawa watu wakija kwetu Africa tunawatetemekea sana lakini wao they are so racist.
   
Loading...