Jamaa amechoka au ni uzee tuu?

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,647
mremasms.JPG
 
SUKARI mbaya mkuu, usiombe. Inamaana hapo jogoo ndo kwisha kazi yake.
Watu wa Vunjo wamempa ubunge kama pension yake kwa kuwatumikia kipindi cha nyuma.
 
SUKARI mbaya mkuu, usiombe. Inamaana hapo jogoo ndo kwisha kazi yake.
Watu wa Vunjo wamempa ubunge kama pension yake kwa kuwatumikia kipindi cha nyuma.

Wakati wa kampeni aliomba wasimuumbue...
 
Huyu CCM B, anasumbuliwa na vyoote, uzee na ugonjwa, ubunge kapewa kwa heshma ya lala salama, na huko mjengoni itakuwa na kuuchapa usingizi weeee!! jioni kwenda kujirusha na vimwana zipu haifanyikazi, jamani usiombe. "EPUKA SANA VITU VYA SUKARI" say no to SUGAR
 
Naskia afya yake ndicho kilikuwa kigezo cha kupata kura nyingi ili apate hela ya kujitibia!
kama ni kweli basi sio mbaya sana , mzee wa watu apate matibabu kuliko walioingia mjengoni kwa dhumuni la kutaka kuvimbisha matumbo yao tu. Kama haujamuona siku nyingi unaweza kukataa kama ndio yeye.
 
Huyu CCM B, anasumbuliwa na vyoote, uzee na ugonjwa, ubunge kapewa kwa heshma ya lala salama, na huko mjengoni itakuwa na kuuchapa usingizi weeee!! jioni kwenda kujirusha na vimwana zipu haifanyikazi, jamani usiombe. "EPUKA SANA VITU VYA SUKARI" say no to SUGAR
..Nani kasema vitu vya sukari vinasababisha kisukari???? Mh!:nono::nono:
 
Ngoja apate VX na aanze kupokea posho za ubunge atabadilika na kunawiri unaweza ukampotea.
 
Siamini kama ile ndoto yake ya kuwa rais wa inji hii bado anayo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom