Igangilonga
Senior Member
- Mar 11, 2006
- 133
- 27
Magic FM walitangaza tetesi kuwa kuna mtu alikuwepo ghorofa ya 8 katika hotel ya Hyatt Regency (ex-Kilimanjaro) na alikuwa anataka kujirusha iwapo hataonana na kuongea na IGP Mwema in person. Kuna anaejua kilichoendelea baada ya hapo? Kama alifanikiwa kumpata IGP au alijirusha au.......?