Jamaa ahamaki ndani ya daladala!

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
Katika daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto.Mtoto akakataa kunyonya,mama akamwambia "nyonya!,kama hautaki nampa anko anyonye"!anko ni kaka mmoja abiria aliyeketi karibu na huyo mama.Mtoto ikabidi anyonye kidogo akaacha.Mama akamtishia tena kumpa anko!
ndipo yule kaka kwa hamaki akasema "mama uwe na msimamo,unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako,hebu kuwa mkweli!unanipa kunyonya au nishuke?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom