Jama TCRA wamefikia wapi kusimika mitambo yao na vipi ving'amuzi bei gani?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Kwa mara ya mwisho niliwaskia wanasema wanasimika mitambo kwa kila mkoa hiv wamefikia wap na kwa wale waliokwishanunua vin'gamuzi bei gani jama mi nipo iringa.
 
G spanner, the last time, kwa mujibu wa matanagazo na mitandao yao,

-Startimes wako kwenye offer until 15 Oktoba, 39,000.
-Zuku ni 92,000 + installations.

ngoja wadau wa TING wakitokea watatuambia
 
Last edited by a moderator:
Kwa mara ya mwisho niliwaskia wanasema wanasimika mitambo kwa kila mkoa hiv wamefikia wap na kwa wale waliokwishanunua vin'gamuzi bei gani jama mi nipo iringa.

Hv kwan huko tayar imefka... Coz maeneo ya makambako wanapata startimes but wanatumia mitambo ya mbeyaaa!
 
Hebu niambie vizuri kuhusu zuku ina chanells gani na muonekano wake na vitu vinavyofanania na hivyo
samahani kwa usumbufu wakuu
 
Hv kwan huko tayar imefka... Coz maeneo ya makambako wanapata startimes but wanatumia mitambo ya mbeyaaa!

hapana nilisikia tangu mda kuwa wanaanza kukamilisha dar kisha wanaanza sambaa had leo sijajua nimejaribu kutembelea website yao ya TCRA naona hamna direct infomation kila ukifungua heading wanataka udownload mh huduma zao sijui vp?
 
Back
Top Bottom