Jama serikali yawa na nia yakufungua zahanati kwa babu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jama serikali yawa na nia yakufungua zahanati kwa babu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mseseve, Apr 6, 2011.

 1. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kuna habari za kuaminika zasema kwamba baada ya babu wa loliondo kuuza dawa yke kwa sh500 then na watu wengi wakaitikia wito huo na hata kutoka nchi za mataifa kuja tz kunyw kikombe kwa bei ya kutupa serkal imeona inapoteza mapato mengi sana kw kuwaruhusu watu wa nje kunyw kw bei hiyo sasa imeamua kwenda kujenga hospital loliondo na pia kuwapeleka TRA waka colect tax kw yeyote yule atakaekwnda kunywa kikombe.hii mwaionaje waungwana imekaa njema au ndo mambo ya siasa na kutaka kupanua wigo wa ufisadi
   
Loading...