Jama hii website mbona inagoma ila iko na vitu msaada plz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jama hii website mbona inagoma ila iko na vitu msaada plz?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Sep 19, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jama habari za majukumu? Samahani kuna website ina nyimbo currently ila haitaki kudownload nyimbo je suruhisho nini inaitwa "bongo muziki" Manase
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  haha jamaa si anauza miziki? Au hujui sijui hata kama anawashirikisha wanamuziki maana analipwa kwa kuuza nyimbo zisizo zake

  Visit hapa kaeka maelekezo ya kudownload

  how.html
   
 3. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  jamaa anapata faida kwa kazi zisizo zake, mimi pia sina hakika kama wasanii hufaidika na mapato yake
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Halaf website nyingi za simu za kibongo zipo hivo
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  chief-mkwawa si unajua wabongo tulivyo wazuri kupeana taarifa... kuna host wa wap sites anaitwa wen.ru ndo ana scrpit kama iyo ya kuuza nyimbo kwa kutoa links ambazo zina expire baada ya muda, sasa bwana manase naona akawapasha habari na wenzie ili wanufaike kwa pamoja
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwani hawa wana nyimbo mpya au za zamani tu..
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  ah hizo tubidy ni youtube grabber na ni video na si mp3 ukitaka hata we unaweza kua nayo

  Mi yangu ya nyumbani hii hapa nimegrab ya vuclip

  http://tricks.16mb.com/vuclip
   
 9. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  hiyo ya vuclip ninanayo pamoja na link management scripts... Inshort vuclipiko poa kwa mobile
   
Loading...