Jama hii pc inngomea kuplay hli tatizo litakuwa wap? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jama hii pc inngomea kuplay hli tatizo litakuwa wap?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Mar 3, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wadau tangu jana kila nikifanya double click katika audio song hamna action yoyote lkn kwa video inakubali kwa hiz nyimbo za audio zinataka had niright click nakuopen with a certain program(kwmfano window media player au vlc) na baada ya nyimbo moja kuwa played nyingine ndipo zinakubali pia kwa double click na kureplace ilikuwa inaplay hv ugonjwa huu wa kutoplay kwa kudouble click kwenye audio tatizo nin na je virus kwa hli wanawezahusika?
   
Loading...