Jalada la Kapuya latoweka Polisi Makao Makuu. Mwenyewe atamba ameshinda vita!

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
KATIKA KILE KINACHOONYESHA NGUVU YA FEDHA INAVYOWEZA KUFANYA KAZI DHIDI YA HAKI,JALADA LA UBAKAJI ALILOFUNGULIWA PROF KAPUYA PALE PLISI MAKO MAKUU INADAIWA LIMEYEYYUKA NA KUWAACHA WAPELELEZI WALIOKUWA WAKILIFUATILIA MIDOMO WAZI.

TAARIFA ZA NDANI YA JESHI HILO MAKAO MAKUU(HQ) ZINADAI KUWA JLADA HILO LILILOFUNGULIWA KWA MBWEMBWE NYINGI LIMETOWEKA NA HAIJULIKANI LIMEPELEKWA WAPI.

MNYETISHAJI WA KUTOKA IDARA YA MASIJALA ILIYOPO GHOROFA YA SITA NDANI YA JENGO LILE ANADAI FAILI LILE HALIKUWAHI KUFIKISHWA HUKO NA ANACHOJUA NI KWAMBA UCHUNGUZI WA SWALA HILO UMEFUNGWA NA HATA WAPELELEZI WALIOPWA JALADA LILE WAMEPEWA KAZI NYINGINE NA KUAMBIWA WAACHANAE NA SWALA LA KAPUYA HADI PALE watakapopewa maelekezo mengine.

KWAKUJUA AU KUTOKUJUA KINACHOENEDELEA MAKAO MAKUU YA POLISI,. KAPUYA AMADAIWA KUPITA MITAANI AKIJINADI KUWA AMEWAMALIZA WABAYA WAKE NA MAISHA YANAENDELEA KAMA KAWAIDA.

TAARIFA HIZI ZINAKUJA WAKATI TAYARI IMETANDA HOFU KUBWA KATIKA FAMILIA YA BINTI ANAEDAI KUBAKWA NA KAPUYA NA KUAMBUKIZWA UKIMWI.

TAARIFA ZINAELEZA KUWA BINTI HUYO AMEJIFICHA KATIKA NYUMBA YA NDUGU YAKE MMOJA HAPA JIJINI DAR(PANATAJWA) HKU AKIAHIDI KUJIUA KULIKO AKUTWE NA KISASI CHA KAPUYA ALIYEAHIDI KUWASHUGHULIKIA WOTE WANAOMCHAFUA.

TUSUBIRI TUONE.
 
Bazazi kapuya ,lakini hata akichomoa imemuharibia sana sifa yake kuanzia nyumbani kwake(family) hadi kitaifa nadhani katumia fedha nyingi sana kujisafisha na kashfa hii
 
Chezea maccm wewe! Kubaka wanabaka wavuja jasho wa tanzania sio vigogo wa maccm! Kwa vigogo wa maccm wanatongoza hata katoto ka shule ya msingi! Labda angekuwa mbunge wa upinzani! Mapolisccm wote kimya!!
 
Halafu ile ishu ya Lema iliishaje?alisingiziwa kambaka Flora Lyimo UK!!
 
mfano wameshatuonesha wananchi wa kisessa_mwanza
ccm polisi ni yao
mahakama ni yao
pesa ni zao
ukitaka upate haki yako ni mawe tu!
 
mfano wameshatuonesha wananchi wa kisessa_mwanza
ccm polisi ni yao
mahakama ni yao
pesa ni zao
ukitaka upate haki yako ni mawe tu!

Kuna watu wanashabaha sana yani walibonda kile kichwa utadhani wanaua nyoka kifutu
 
Halafu ile ishu ya Lema iliishaje?alisingiziwa kambaka Flora Lyimo UK!!




usiingie jf ukiwa umelewa.vigezo na masharti kuzingatiwa.hata kama cdm unaichukia si kila mada ni cdm mbona ccm mnaogopa hadi unyasi?nchi mmegawana bado makabidhiano waswasi wa nini.hapa mada ni kapuua cd iningiaje!inawezekana unacho kinena ni sawa ila uwe makini.
 
Bazazi kapuya ,lakini hata akichomoa imemuharibia sana sifa yake kuanzia nyumbani kwake(family) hadi kitaifa nadhani katumia fedha nyingi sana kujisafisha na kashfa hii

kachomoa kesi ila si kashfa.kashfa zinabaki ktk fikra za watu .....ukitaka jua tafuta siku muweke kapuya na binti halafu muulize binti km yupo tayari kusafiki n a kapuya au na mtu mwingine...
 
Mh kama kweli Mkuu wa upelelezi+mkuu wa polisi mkoa nao mizigo.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom