JakayaKikwete Tumia Mamlaka Yako Kikatiba Utuandikie Katiba Mpya Wapende Wasipende | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JakayaKikwete Tumia Mamlaka Yako Kikatiba Utuandikie Katiba Mpya Wapende Wasipende

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by ZenaTulivu, Jan 4, 2011.

 1. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa nini kila alitendalo raisi wengine hamtaki hata kulivumilia mkaone matokeo yake yakoje? JK tumia mamlaka yako ilionayo kikatiba, busara zako ukatuandikie katiba mpya mwaka huu.

  Sisi tunachokitaka ni utulivu na amani nchini. Hao watu wanaokupinga karibu kwa kila ulitendalo nani kawambia unao ubia na mtu kwenye urais wako.

  Sisi CUF tutakupa kila aina ya ushirikiano unaoutaka katika hili. Kwa nini raisi wa nchi hii asipokua mkristo ahangaishwe namna hii? Yaani watu hamna hata aibu?
   
 2. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwaka wa 2011 hatutaki kelele za katiba tena kwani suala hilo tayari inafanyiwa kazi na mamlaka husika.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Akili iliodumaa kama hii haifai hata kidogo.
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  madrasa
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii dhana ya 'WAPENDE WASIPENDE' inatoka wapi? Na jee, 'wapende wasipende' ikiachiwa nafasi kushamiri katika jamii yetu tutafika kweli?
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  The ignorant man always adores what he cannot understand.
   
 7. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  /////Kwa nini kila alitendalo raisi wengine hamtaki hata kulivumilia mkaone matokeo yake yakoje? JK tumia mamlaka yako ilionayo kikatiba, busara zako ukatuandikie katiba mpya mwaka huu.

  Sisi tunachokitaka ni utulivu na amani nchini. Hao watu wanaokupinga karibu kwa kila ulitendalo nani kawambia unao ubia na mtu kwenye urais wako.

  Sisi CUF tutakupa kila aina ya ushirikiano unaoutaka katika hili. Kwa nini raisi wa nchi hii asipokua mkristo ahangaishwe namna hii? Yaani watu hamna hata aibu? ///////

  Ninayo hapa katiba mezani-nijibu mamlaka ipi ya rais kikatiba ya kutengeneza katiba mpya (narudia neno mpya). hizo red bolded phrases zimenifanya nikujue upeo na uwezo wako wa kufikiri. Madrasa-nnur
   
 8. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  MS: baada ya kupelekwa kifungoni umekuja kivingine, embu tuambie ni mamlka zipi zinazohusika na utengenezaji wa katiba mpya?
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0


  Huenda watu wengine tayari wamerukwa akili kabisa katika suala hili la katiba mpya. Hata hivyo napata faraja kwamba HAKUNA LINALOWEZA KUTENDWA KWA MAFANIKIO CHINI YA JUA bila wananchi kuridhia na zaidi kutoa ushirikiano wao.
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hebu nenda kaone kiongozi wako huyu alivyopagawa ikulu. Kuiba cha watu ni mbaya sana.
   
 11. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Watu wa aina yako huwa najiuliza kama kweli wana uraia wa Tanzania tu..
   
 12. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280

  Dah, watu wengine hata nashindwa kuwaelewa vizuri.

  Unasema atumie mamlaka ya Katiba Mbovu kutengeneza katiba Nzuri??:A S-confused1::peep:
   
 13. Mtembea_peku

  Mtembea_peku Senior Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh kazi tunayo ZENA TULIVU ...wake up ts almost 12 Noon ..4January2011
   
 14. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  NDANI YA MIWANI YA UDINI CHONGO UTAITA KENGEZA. RAIS WAKO ATUMIE KATIBA MBOVU KUANDIKA KATIBA NZURI HAIWEZEKANI. ILA HATA HIYO KATIBA MBOVU INAELEKEZA TARATIBU ZA MABADRIKO YA KATIBA AU UANDIKAJI WA KATIBA MPYA. TARATIBU AMBAZO KESHA ZIVUNJA KWA KUJIPA MADDARAKA YA KUUNDA HIYO TUME.

  ANAPONGEZWA SANA KWA KUONA UMUHIMU W KUWA NA KATIBA MPYA TATIZO NI KIMBELE FRONT CHA NKUTAKA KUWA ON CONTORL ILI ACHAKACHUE. uNAUMWA NA NYOKA MARA MOJA TU UKIONA KAMBVA LAZIMA USHITUKE.

  MIMI SINA CHAMA TENA NIKO NJE YA NCHI LAKINI KUVAA MIWANI YA UDINI KWANGU NATAMBUA NI KICHEFU CHEFU CHA CCM NA CUF KINANIKERA KWA KUPITIA UWAKALA WA JMK.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jaji Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa Tanzania ni Werema ! Naogopa kuandika Craaaaaaaap
   
 16. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Amani bila haki, hiyo sahau. Na mwaka huu mpaka 2015 hatutulii mpaka kieleweke. Haiwezekani tukawa na mchakachuaji anafanya madudu halafu tuendelee kumpigia magoti. Haipo. Tutapambana. Ni bora kufa tumesimama kuliko kuishi tukiwa tumepiga magoti.
   
 17. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wewe Zena Tulivu hivi uko hapa nchini kweli!!!! Twambie ni sehemu ipi ya katiba ya sasa inampa kikwete mamlaka ya kuandika katiba. Hebu jaribu kuficha utupu wako katika mambo haya!!!!
   
 18. n

  niweze JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe ni Muislamu wa Aina Gani? Nyie Ndio Hawa OSama Anaetusumbua Duniani Kote. Haya Majambazi Wewe Ndio Dini Yenu Inasimama Juu ya Haya. Inawezekana Wewe na JK Mtaua Hii Dini Tanzania. JK na Mafisadi Walichokifanya Dowans, EPA, Bank Kuu, Migodini na Uzembe Kila Idara na Sasa Kuwaua kw Risasi Wananchi Arusha ni Uislamu Huo? Kama Kiongozi ni Mkristo Feki au Muislamu Faki Wote Tunawaumbua Hakuna Udini na Mnajaribu Kupeleka Uzembe wa JK Kwenye Udini na Hamtafanikiwa This Anymore Watanzani Sio Wote Wajinga Kama Wewe. Wanaokufa Tanzania Wote ni Wakikristo na Waislamu. Kaa Chini Wewe Kada wa CCM. Moto Mpaka Uwawakie Majumbani Kwenu na Wake Zenu Watawaacha Kipindi Hiki.
   
 19. K

  Ki tochi Member

  #19
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bunge ndo linahusika, hata kupitisha katiba ni bunge. elewa hilo
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CUF ni CCMB ni sawa kusema baba anapata ushirikiano na watoto wake!
   
Loading...