Jakaya Mrisho Kikwete: Rais mwenye kipaji na usikivu

Raisi wetu anapenda utamaduni

JK.jpg



2763766_017990ba91_m.jpeg

hahaaaa hii ya pili ndo nimeipenda sana..kweli huyu jamaa ana vipaji naona hapa anasakata ngoma ya GOMBE SUGU!!!!
 
that is my president.One and Only Dr Kikwete.Amefanya mpaka marekani wanaipenda zaidi Tz kwa sasa.Ni mzuri sana kututafutia misaada.Big up JK.
 
alisema wasichana wanapata mimba na ukimwi kwa kuwa wana viherehere....asante mchungaji Masa
mkuu chunga mabandiko yako pls.....hizo kauli mkuu wa nchi mwenye kipaji na usikivu kwa wananchi wake kama JK hawezi zisema...ni propaganda za magazeti na wapinzani wasiokuwa na shukrani hata kwa kile anachokifanya Mhesh Rais
 
that is my president.One and Only Dr Kikwete.Amefanya mpaka marekani wanaipenda zaidi Tz kwa sasa.Ni mzuri sana kututafutia misaada.Big up JK.

lini mtajitegemea?wabongo bana akili yoote kwenye misaada..
 
Anafaa kuongezewa miaka mingine kumi ili ifikie 20 maana wananchi wamependezwa na utendaji wake. Kama hamsadiki mpigieni simu Dr. Augustino Lyatonga Mrema atawahakikishia nisemayo
 
Sifa ya Kwanza ya Kikwete ni Mswahili. Waswahili ni watu wa pwani ya Afrika Mashariki na lugha yao mama ni kiswahili, Bwagamoyo ni moja katika machimbuko ya Waswahili.

Sifa kuu ya Waswahili ni ustaarabu wao ulioanza kabala ya wengime wote waliotoka bara, bara kwa maana mbali na bahari. Utamaduni waliokuwa nao Waswahili uliwashngaza hata wazungu wa kwanza waliotua pwani ya waswahili (si vasco da gama, vasco hajashuka pwani aliishia melini).

Wazungu walishangaa, walipofika Kilwa wakakuta majumba ya ghorofa, mtawala wa kiswahili, sahani za chaina, nyumba zina rangi ambapo hata huko walikotoka walikuwa hawajui rangi ni nini. Kanzu za lasi na magauni ya hariri, ambapo hata huko walikotoka walikuwa hawajui hariri wala lasi.

Washenzi (wabara) waliostaarabishwa na Waswahili leo hii hawawezi wakamsifu Kikwete kwa sababu tu, yu Mswahili.
 
Du hata mm ni mshabikl wake hakuna zaidi yake, kwani hata Bush anatembea sana na ndio Marais wanaoongoza kujulikana
 
Back
Top Bottom