Jakaya Kikwete ulifanya la maana kuzindua mwenyewe miradi yako ya mwishoni mwishoni, la sivyo Watanzania wasingejua ukweli

Tumuache azindue hata miradi ya Nyerere,si tulishajadili sana humu kuwa hatutaki maendeleo ya vitu bali ya watu,sisi kwenye kampeni twende tukawaambie Wananchi kuwa hayo aliyoyafanya ni mavitu ya hovyo,tupewe sisi tulete maendeleo ya watu
 
Kwavitu akivovifanya Mkapa ilikuwa ngumu kujipigua promo na Wananchi kumuelewa. Yeye alicheza vizuri Sana kwenye reforms za sera, miongozo, kanuni na Sheria mbalimbali za nchi na kuunda gvt mechanisms za kutekeleza maboresho hayo. Ni ngumu mwananchi wa kawaida kumuuelewa mtu aliyeanzisha gvt structure nzuri ya kukusanya Kodi kulinganisha na mtu anayezindua daraja.

Hawa wa Sasa wache wajipigie promo coz wanadili na vitu physical zaidi ambavo hata mtoto mdogo anaviona kuliko reforms za kisera.
Umechambua vizuri. Hii ndo akili za ki great thinker tunazozitaka. 👏 👏 👏
 
Hapo tu Chadema mnapokosea badala ya kueneza sera na ilani ya Chadema na kueleza mtawafanyia nini watanzania mtakapopewa ridhaa ya kuongoza, nyinyi mmekalia kubishania miradi ya iliyotekelezwa na CCM. Kwa mtindo huu itawachukua muda mrefu sana kuingia Ikulu.
Wewe itakusaidia nini Chadema wasiposhika nchi?
 
Back
Top Bottom