Jakaya Kikwete ulifanya la maana kuzindua mwenyewe miradi yako ya mwishoni mwishoni, la sivyo Watanzania wasingejua ukweli

Sure maana baba masifa angesema ni yeye, hata daraja la Kingamboni na Mwendokasi anasema nini yeye.
Hahahha....kweli Magufuli kawabana, yani mpaka mnammiss JK?
naona mnashindwa tu kutamka kwamba aje agombee tena huko.

Magufuli hebu waonee huruma hawa watu jamani
 
Legacy ya Mkapa iliyosomwa na Magufuli imewagumbua macho watanzania wengi, kuwa ipo haja mtawala kutenda makubwa kwa nchi yake na pia kuhakikisha wanancgi wanatambua mchango wake. Maana legacy ya mtawala kumbe iko tied na heshima yake pindi akiondoka madarakani!
 
mimi ninaamini kila wakati na mambo yake, na kila mambo na twanzilishi na mtekelezaji wake.
mh rais wa sasa hakuikuta nchi ikiwa 0 tolal, bali kuna hatua zilikuwa tayari zimepigwa.
hata kama hatua zile zilizopigwa kwa mtazamo wake zilikua si chochote kwake lakini kuwa puuza wale waliopiga hizo hatua kisha zako wewe ndio unaziona bora sio jambo lenye hekima ndani yake.
 
Wakenya wamejenga tabia flani hivi ya kuwa husudu Marais wa Tanzania hasa awamu ya nne na hii ya tano.

Wakati wa awamu ya nne wamama zaidi lakini walikuwa wakisema, Rais wenyu ni nzuri /headsome tunatamani na wa kwetu angekua kama wa kwenyu.

Awamu hii ya tano wengi, wanaume na wanawake kwa umoja wao wanasema, Rais wenyu wa awamu hii amefanya kazi kubwa kwa muda mfupi sana, tunaomba aje atawale hapa kwetu atuondolee huu uozo na kutuletea maendeleo kwa haraka. Huyu(JPM) akipewa muda mrefu Tanzania mtakuwa ulaya ndogo. Mungu anawapenda sana ninyi waTizee. Mwisho wa kunukuu maoni ya Wakenya.

Nyie ambao mko na kampeni ya kujaribu kukimbia vivuli vyenu mjue hamuwezi labda kama mnaweza kugeuza jua liwe giza.
 
Wakenya wamejenga tabia flani hivi ya kuwa husudu Marais wa Tanzania hasa awamu ya nne na hii ya tano.

Wakati wa awamu ya nne wamama zaidi lakini walikuwa wakisema, Rais wenyu ni nzuri /headsome tunatamani na wa kwetu angekua kama wa kwenyu.

Awamu hii ya tano wengi, wanaume na wanawake kwa umoja wao wanasema, Rais wenyu wa awamu hii amefanya kazi kubwa kwa muda mufti sana, tunaomba aje atawale hapa kwetu atuondolee huu uozo na kutuletea maendeleo kwa haraka. Huyu(JPM) akipewa muda mrefu Tanzania mtakuwa ulaya ndogo. Mungu anawapenda sana ninyi waTizee. Mwisho wa kunukuu maoni ya Wakenya.

Nyie ambao mko na kampeni ya kujaribu kukimbia vivuli vyenu mjue hamuwezi labda kama mnaweza kugeuza jua liwe giza.

Lazima wampende JK maana alisaidia kuwasuluhisha wasichinjane baada ya uchaguzi mkuu huko kwao!
 
Sasa kama aliondoka serikali ikiwa tupu vingejengewa na nini? Kama urais ni kuplan tu kisha unasepa mbona mtu yeyote anaweza.
 
Ujinga hauwezi kuwaisha baadhi yenu mpaka mnaingia kabrini,

Kwa hiyo sasa unaanza kuwakubali kwamba CCM kumbe wamefanya?

Sasa mbona huwa mnatuchosha kusema eti CCM haijafanya kitu?

Hiyo Miradi unayoisema imetoka wapi tena leo?
Nyinyi michadema mnachosha Sana, na tukiwaambiaga ninyi ni wajinga mnatutukana matusi karibu yote
Wewe sijui itabidi upelekwe wapi ili angalao ujue namna ya kujenga hoja. Unaelewa kinachoongelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuelewa kama ungesema yeye aliondoka akiwa tupu. Hilo la serikali kuwa tupu halimuhusu sana kama agenda zake alizitimiza. Urais ni maono na wito kutoka kwa Mungu si maono ya mtu kwa ubinafsi, utashi, na shauku yake na akafanya kila awezalo liwe la giza na nuru ilimradi awe yeye.
 
Kuna miradi mikubwa mitatu (Signature projects) ambayo JK aliamua kuizindua mwishoni mwa utawala wake.
Miradi hiyo ni

1. Mwendokasi DSM
2. Daraja la Kilombero
3. Hospitali ya Benjamin William Mkapa iliyoko ndani ya Campus ya chuo kikuu cha UDOM

Miradi yote hii, JK aliizindua kuelekea mwishoni mwishoni kabisa mwa utawala wake.

Ninajua kuwa Documents zipo za kuonyesha kila mradi umeanza upembuzi yakinifu lini, kuanza ujenzi lini, na kukamilika lini lakini nilichogundua ni kwamba raia hukumbuka zaidi mmaliziaji kuliko mwanzilishi.

Na kwa kweli kwa maoni binafsi siyo makosa kwa mtawala kujivunia yale aliyowafanyia wananchi. Kwa mfano hata JPM atakapoondoka madarakani tutamsifu na kumshukuru sana kwa SGR na Stieglers maana kwa kweli ni miradi ya maana.

Lakini najaribu kuimagine, kama JPM angeamua kwenda na plan ya mwanzo ya kuzalisha umeme kupitia gesi yetu ya mtwara au angeamua kwenda na mpango wa awali wa kujenga SGR kupitia mkopo wa EXIM bank ya wachina ambao tayari serikali ya JK ilishakuwa kwenye mazungumzo na serikali ya China ingekuwa vipi?

Nilichojifunza kwa yaliyomkuta hayati raisi wetu BWM ambaye kwa hakika aliifanyia nchi hii mambo makubwa ila hakupenda kupigia promo kazi zake ukilinganisha na utawala huu ambao ukijenga hata stendi ya mabasi basi promo inakuwa kubwa kweli kwa kweli nampongeza JK kwa kuamua kuizindua ile miradi yake ya mwishomwisho ili ujenzi uanze au pale ilipokuwa imekamilika kuizindua yeye mwenyewe la sivyo kuna watu ambao wangekuta chakula kimeshainjikwa jikoni au kimeshatengwa mezani kufanya ugawaji tu, na sasa kwa kuwa wao ndo waliowagawia watoto basi wangeonekana eti wao ni wa maana zaidi kuliko wale waliokitafuta na kukipika!.

Aliyemshauri JK hata kuchukua helcopter na kwenda shutashuta kuzindua ujenzi wa Daraja la Kilombero alimpa mzee wetu ushauri wa maana sana!

Hata wakijua ukweli bado ni CCM moja, siku magufuli akiondoka atakaekuja hata angekuwa wa chadema atakamilisha miladi iliyoanzishwa na magufuli, kwa hiyo kwa ujinga wenu mtasema sio ya huyo aliyemalizia bali ni magufuri kaanzisha?.

Kumbuka kuna kuanzisha na kutekeleza unaweza kuanzisha mradi au kutoa wazo au sera lakini usikamilishe

Kama ilivyokuwa Hospital ya mwalimu Nyerere mkoa wa mara na baadhi ya miradi iliyoanzishwa na Mkapa au Mwinyi lakini imekamilika kwa kipindi hiki.

Je huko nyuma hawakuwapo maraisi?
Kama mlitaka kikwete akamishe miladi yake basi mngempa uraisi wa milele, na bado angeacha mingine.
Kubali ukatae Magufuli ni mashine nyingine, huwezi mlinganisha na huyo mberigiji wenu.
 
Kuna miradi mikubwa mitatu (Signature projects) ambayo JK aliamua kuizindua mwishoni mwa utawala wake.
Miradi hiyo ni

1. Mwendokasi DSM
2. Daraja la Kilombero
3. Hospitali ya Benjamin William Mkapa iliyoko ndani ya Campus ya chuo kikuu cha UDOM

Miradi yote hii, JK aliizindua kuelekea mwishoni mwishoni kabisa mwa utawala wake.

Ninajua kuwa Documents zipo za kuonyesha kila mradi umeanza upembuzi yakinifu lini, kuanza ujenzi lini, na kukamilika lini lakini nilichogundua ni kwamba raia hukumbuka zaidi mmaliziaji kuliko mwanzilishi.

Na kwa kweli kwa maoni binafsi siyo makosa kwa mtawala kujivunia yale aliyowafanyia wananchi. Kwa mfano hata JPM atakapoondoka madarakani tutamsifu na kumshukuru sana kwa SGR na Stieglers maana kwa kweli ni miradi ya maana.

Lakini najaribu kuimagine, kama JPM angeamua kwenda na plan ya mwanzo ya kuzalisha umeme kupitia gesi yetu ya mtwara au angeamua kwenda na mpango wa awali wa kujenga SGR kupitia mkopo wa EXIM bank ya wachina ambao tayari serikali ya JK ilishakuwa kwenye mazungumzo na serikali ya China ingekuwa vipi?

Nilichojifunza kwa yaliyomkuta hayati raisi wetu BWM ambaye kwa hakika aliifanyia nchi hii mambo makubwa ila hakupenda kupigia promo kazi zake ukilinganisha na utawala huu ambao ukijenga hata stendi ya mabasi basi promo inakuwa kubwa kweli kwa kweli nampongeza JK kwa kuamua kuizindua ile miradi yake ya mwishomwisho ili ujenzi uanze au pale ilipokuwa imekamilika kuizindua yeye mwenyewe la sivyo kuna watu ambao wangekuta chakula kimeshainjikwa jikoni au kimeshatengwa mezani kufanya ugawaji tu, na sasa kwa kuwa wao ndo waliowagawia watoto basi wangeonekana eti wao ni wa maana zaidi kuliko wale waliokitafuta na kukipika!.

Aliyemshauri JK hata kuchukua helcopter na kwenda shutashuta kuzindua ujenzi wa Daraja la Kilombero alimpa mzee wetu ushauri wa maana sana!
Sijaelewa huu uzi...Hivi JK yupo chama gani vile..na JPM chama gani . Wanayotekeleza yapo nje ya ilani ya chama au. .?mnisaidie maana ya huu uzi
 
Mkwere ni mjanja sana akaamua kuweka record sawa.

Mkuu, wewe unaona kuna hoja hapo?
Ili hoja iwe na uzito, ni lazima mleta hoja afikiri Kwanza,anachokiandika, hakiharibu mabandiko mengine yenye kupinga hicho anachokileta?

Labda, aanze Kwa kutengua kauli za mabandiko mengine yaliyowahi kupinga kwamba hakuna kilichofanywa kabisa na CCM

Kama wewe unaona hiyo ni hoja, basi Jenga hoja wewe mkuu
 
Who cares Nani alipembua,kuanzisha, au kuzindua..the most important watanzania tunufaike na miradi hiyo..the rest ni kelele masikioni mwa raia
 
Kwavitu akivovifanya Mkapa ilikuwa ngumu kujipigua promo na Wananchi kumuelewa. Yeye alicheza vizuri Sana kwenye reforms za sera, miongozo, kanuni na Sheria mbalimbali za nchi na kuunda gvt mechanisms za kutekeleza maboresho hayo. Ni ngumu mwananchi wa kawaida kumuuelewa mtu aliyeanzisha gvt structure nzuri ya kukusanya Kodi kulinganisha na mtu anayezindua daraja.

Hawa wa Sasa wache wajipigie promo coz wanadili na vitu physical zaidi ambavo hata mtoto mdogo anaviona kuliko reforms za kisera.
Lakini bado Mkapa atabaki kuwa kati ya Viongozi bora kbaisa kuwahi kutokea katika nchi hii baada ya Julius Nyerere.
 
Ccm imefanya kitu gani kwa kutumia fedha zake za ruzuku cha kuisifia?

Back
Top Bottom