Gigo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2006
- 456
- 46
GT,
Kuna kitu kimoja ambacho Pinda inabidi akifanye kumsidia Mkwere, ni kuongeza ufanisi katika miradi na shughuli zilizoko. Hizi habari za mipango mipya kama kugema mvua na kadhalika isitishwe!
Hili Jamaa sijui la wapi? Kishoka Una andika Takataka gani humu!!!