Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

Bila kusahau na gharama pia za maisha zimepanda kwa kasi ya 5G , hakika mama anaupiga mwingi.
Endelea kupiga tantalia wakati mwenzako bank kuu ya kenya inasema chini ya itawala wake tumeuza zaidi kenya kuliko wao walivyouza kwetu...
 
JK ni bingwa wa spinning politics, anatafuta angle ya kuhamisha mjadala wa utawala wa mama kudorora, na anajua fika siku za mama kuendelea kukaa madarakani zinahesabika sana, maana kinachoendelea nyuma ya pazia ni kitu kizito na taarifa tetesi zimeshaanza kuvuja.

WanaCCM wanasema Mama hatoboi, iwe jua iwe mvua!
wa chato utawajua tu..wamenuna ajili mama amepotezea ujinga wa mwenda zake...nasema Mama lazima atoboe tu. ije mvua ya mafuriko lije jua la kiangazi....
Jk siyo mjinga ana diplomasia ya kimataifa tangu...anajulikana Duniani.ni mwerevu! Anajua wajinga mpo hamkosagi.
 
Kweli mkuu, walitaka kujificha kwa wasukuma, wamekanwa mchana kweupe
 
Mama nisikie vizuri najua upo hapo magogoni...unapitapita humu siku mojamoja....
"Waki kujadili watu.. jua tu wame kukubali sana tena sana sijakosea"" tunza haya maneno myoni mwako....utanikumbuka...kwani umewahi ona watu wakimjadili mjinga?....kaza kamba usilegeze. Historia tunaandika sisi.
 
Yule msanii wa vibonzo, walimpa kesi ya mtandao, je, alifutiwa mashitaka, kama makundi mbalimbali yalivyoomba?
 
Back
Top Bottom