Jakaya Kikwete: Rais muungwana anayelipa ubaya kwa wema...

Kama mijitu inaiba mchana peupe, dhaifu anashindwa kuchukua hatua, kisa tu familia yake imehusika, kisha wanaume tunaridhika tu. Sasa kuna tofauti gani na wanaoolewa?
mkuu Castro pale cuba alipo chukua nchi na kuanza kutaifisha mali, alianza na shamba la mama yake, kitu ambacho wataalam wanasema mama yake hatamsamehe... JK hawezi chukua hatua may be alijua deal tangu mapema hv mikono yake imefungwa, hawez fanya kama Castro...
 
Membe sio mpole wala dhaifu kama mnavyo muona muulizeni dk hans kitine.
Someni cv ya membe
 
Raisi wetu Jakaya Kikwete kwa kweli ni muungwana sana, naamini kabisa nchi hii haijawahi kuwa na raisi muungwana kama JK na si ajabu itachukuwa muda mrefu sana kuja kupata raisi Muungwana kama JK!
Huyu jamaa (raisi wa JMT) ana absolute power ndani ya hii nchi lkn utafikiri madaraka yake yamevunjwa vunjwa na kwamba hana uwezo wa kuingilia mambo yanayotokea!

Anashutumiwa, serikali yake inashutumiwa tena wakati mwingine hata watu wanaoishutumu na kutukana Serikali yake ni waajiriwa wake kama Kitila Mtumbo ameajiriwa na analipwa na Serikali ya JMT analipiwa kuanzia nyumba, umeme, mpaka chooni maji ya kuflash na serikali ya JMT lkn haishi kejeli na matusi dhidi ya serikali, bado Jakaya Kikwete kimya wala hasemi kitu, Upinzani wanajitanua wanavyotaka, wanafanya wanavyotaka, wanatukana na kumkebehi Raisi wa JMT wanavyotaka lkn JK kimya ingawaje kuna sheria ya kuadhibu wote wanaomtukana raisi wa JMT iwe kwa uongo au Ukweli!

Hata mpaka wanafanya mikutano mikubwa kama huu wa Mlimani city wa kuanzisha kampeni ambayo lengo lake Kuu ni kuingusha Serikali yake lkn JK kimya na yote ruksa huu uhuru waliopewa wapinzani wao wenyewe ikitokea wakawa madarakani hawawezi kuutoa!

Kwenye nchi ambazo Raisi ana absolute power kama yetu haya mambo yote hayawezi kuruhusiwa, rais hawezi kukaa kimya na kuwaachia Upinzani wafanye wanavyotaka hata kuanza kampeni za kumuangusha na yuko kimya, kwa kweli JK ni Muungwana sana na kwa hilo Upinzani nina Uhakika ingawaje hawataki kutambua watamkumbuka sana ngoja Mzee wa tingatinga aingie halafu muone kama mtafanya hiyo mikutano mikubwa na matusi juu!

Long Live Jakaya Kikwete!

Raisi wetu Jakaya Kikwete kwa kweli ni muungwana sana, naamini kabisa nchi hii haijawahi kuwa na raisi muungwana kama JK na si ajabu itachukuwa muda mrefu sana kuja kupata raisi Muungwana kama JK!
Huyu jamaa (raisi wa JMT) ana absolute power ndani ya hii nchi lkn utafikiri madaraka yake yamevunjwa vunjwa na kwamba hana uwezo wa kuingilia mambo yanayotokea!

Anashutumiwa, serikali yake inashutumiwa tena wakati mwingine hatawatu wanaoishutumu na kutukana Serikali yake ni waajiriwa wake kama Kitila Mtumbo ameajiriwa na analipwa na Serikali ya JMT analipiwa kuanzia nyumba, umeme, mpaka chooni maji ya kuflash na serikali ya JMT lkn haishi kejeli na matusi dhidi ya serikali, bado JK kimya wala hasemi kitu, Upinzani wanajitanua wanavyotaka, wanafanya wanavyotaka, wanatukana na kumkebehi Raisi wa JMT wanavyotaka lkn JK kimya ingawaje kuna sheria ya kuadhibu wote wanaomtukana raisi wa JMT iwe kwa uongo au Ukweli!

Hata mpaka wanafanya mikutano mikubwa kama huu wa Mlimani city wa kuanzisha kampeni ambayo lengo lake Kuu ni kuingusha Serikali yake lkn JK kimya na yote ruksa huu uhuru waliopewa wapinzani wao wenyewe ikitokea wakawa madarakani hawawezi kuutoa!

Kwenye nchi ambazo Raisi ana absolute power kama yetu haya mambo yote hayawezi kuruhusiwa, raisi hawezi kukaa kimya na kuwaachia Upinzani wafanye wanavyotaka hata kuanza kampeni za kumuangusha na yuko kimya, kwa kweli JK ni Muungwana sana na kwa hilo Upinzani nina Uhakika ingawaje hawataki kutambua watamkumbuka sana ngoja Mzee wa tingatinga aingie halafu muone kama mtafanya hiyo mikutano mikubwa na matusi juu!

Long Live Jakaya Kikwete!

Mdau usinogeshe mazungumzo kabisa,Hakuna mtu anayepewa huduma za bure kwa sasa hapa BONGO EXCEPT MAWAZIRI,MAJAJI,RAIS,PM.KASOME COST SHARING POLICY
 
Kitila Mkumbo!

Utawala wa UDSM ulishatangaza jukumu la watumishi wake kuchangia huduma za umeme na maji....kama wanafunzi wanatoa cost sharing why watumishi wasifanyiwe hayo?Lakini turudi kwenye mjadala,Kikwete ameajiriwa na watanzania sasa why waajiri wasimuongelee mwajiriwa wao?wewe unaona kama unafanyiwa hisani,cha muhimu ni kutomvunjia haki yake au kutomtukana.Nikupe mfano alishwahi kusema kuwa watu waseme wanavyotaka ila wasivunje sheria
 
Kitila mkumbo anatafuta umaarufu kwa nguvu aondoke sasa amfate lowasa wake!
​Lets discuss the facts,umaarufu ili uweje,labda kwakua yeye ni public figure mbona tunajadili sana humu jamani abt CDM au CCM?haya ni mambo ya kawaida sana tu.
 
Utawala wa UDSM ulishatangaza jukumu la watumishi wake kuchangia huduma za umeme na maji....kama wanafunzi wanatoa cost sharing why watumishi wasifanyiwe hayo?Lakini turudi kwenye mjadala,Kikwete ameajiriwa na watanzania sasa why waajiri wasimuongelee mwajiriwa wao?wewe unaona kama unafanyiwa hisani,cha muhimu ni kutomvunjia haki yake au kutomtukana.Nikupe mfano alishwahi kusema kuwa watu waseme wanavyotaka ila wasivunje sheria

Kuchangia na siyo kulipia gharama kuna tofauti kubwa sana hapo!

Na ndio maana nikasema ya kwamba Ni Muungwana sana kwani ana uwezo wa kuzuia yote haya kulingana na madaraka aliyonayo kwanza hata kuna sheria za kumfanya awashugulikie watu kama akina Kitila Mkumbo, Lwaitama &Co. lkn hafanyi hivyo ingawaje wanamtusi yeye na Serikali yake, serikali ambayo ndiyo inawalipa, hakuna mahali hili linawezekana hata Marekani amabko wana demokrasia klk kwetu huwezi kuwa mwajiriwa wa serikali halafu ukaanza kuikashifu na kuitukana serikali ya Marekani inayokulipa na ukapona!

Sheria iko wazi Mwajiriwa wa JMT haruhusiwi kujihusisha na Siasa na ndio maana akina Lamwai Masumbuko, na yule prof. aliyahamia chadema nimemsahau jina lake waliondolewa Serikalini na sasa wanafundisha Vyuo binafsi na huko wanaruhusiwa kuongea na kujiunga na Chama chochote wanachotaka!

Hivyo kwa madaraka aliyo nayo Raisi Kikwete angekuwa nayo Mtu kama Mbowe, fisadi Lowasa watu wengi leo hii wangekuwa Jela si ajabu hata ITV wasingeweza kurusha Kampeni ambazo lengo lake ni kukitoa Chama Dola Madarakani, kwani Kikwete anashindwa nini kuwazuia ITV? Si ni simu tu ktk TCRA kwisho habari yake na sababu haziwezi kukosekana kuhalarisha hilo lkn hafanyi kwa maana ni Muungwana sana!

Sio mtumishi wa UDSM huyo,ila pia inaonesha hata wewe ungekua na madaraka ungekua unawashughulikia sana watu,pole sana,Kikwete ni Rais (ambayo ni TAASISI) ila ukimchamba JK kama yeye binafsi utakiona cha moto. Muulize MTIKILA
 
Ingekuwa mimi ndiyo nina absolute Power kama ya Kikwete kwanza sasa hivi fisadi Lowasa yuko ndani, Kitila Mkumbo angapewa barua kutoka Utumishi pmj na ankara zote alipe na kuachishwa kazi, ningeminya Upinzani kwa vyovyote vile na wasingepata air time, na ninge freeze chanzo cha fedha zao kwa kifupi ningetumia dola kuwaminya na nisingewapa uhuru walio nao kwani gharama yake kwa Chama tawala ni kubwa sana, hakuna Kiongozi mwenye absolute power anaweza kuhusu anguko lake mwenyewe!
 
daah n kwel muungwana na hata u mc anauweza,leo hapa lumumba alikuwa mc mzur sana..ila ALIKUWA NA HASIRA SANA,CJUI KWA NINI?ILA KWA KWEL NI MUUNGWANA
 
ww unataka kikwete afanyaje sasa....umesikia tupo kwenye utawala wa chama kimoja....in democracy no one is above the rule
 
Raisi wetu Jakaya Kikwete kwa kweli ni muungwana sana, naamini kabisa nchi hii haijawahi kuwa na raisi muungwana kama JK na si ajabu itachukuwa muda mrefu sana kuja kupata raisi Muungwana kama JK!
Huyu jamaa (raisi wa JMT) ana absolute power ndani ya hii nchi lkn utafikiri madaraka yake yamevunjwa vunjwa na kwamba hana uwezo wa kuingilia mambo yanayotokea!

Anashutumiwa, serikali yake inashutumiwa tena wakati mwingine hata watu wanaoishutumu na kutukana Serikali yake ni waajiriwa wake kama Kitila Mtumbo ameajiriwa na analipwa na Serikali ya JMT analipiwa kuanzia nyumba, umeme, mpaka chooni maji ya kuflash na serikali ya JMT lkn haishi kejeli na matusi dhidi ya serikali, bado JK kimya wala hasemi kitu, Upinzani wanajitanua wanavyotaka, wanafanya wanavyotaka, wanatukana na kumkebehi Raisi wa JMT wanavyotaka lkn JK kimya ingawaje kuna sheria ya kuadhibu wote wanaomtukana raisi wa JMT iwe kwa uongo au Ukweli!

Hata mpaka wanafanya mikutano mikubwa kama huu wa Mlimani city wa kuanzisha kampeni ambayo lengo lake Kuu ni kuingusha Serikali yake lkn JK kimya na yote ruksa huu uhuru waliopewa wapinzani wao wenyewe ikitokea wakawa madarakani hawawezi kuutoa!

Kwenye nchi ambazo Raisi ana absolute power kama yetu haya mambo yote hayawezi kuruhusiwa, raisi hawezi kukaa kimya na kuwaachia Upinzani wafanye wanavyotaka hata kuanza kampeni za kumuangusha na yuko kimya, kwa kweli JK ni Muungwana sana na kwa hilo Upinzani nina Uhakika ingawaje hawataki kutambua watamkumbuka sana ngoja Mzee wa tingatinga aingie halafu muone kama mtafanya hiyo mikutano mikubwa na matusi juu!

Long Live Jakaya Kikwete!

100% upo sahihi. Ila najua kuna wajinga hawataelewa. Wasubiri Magufuli waone. Na ikitokea upinzani wamechukua nchi ndiyo tutegemee songombingo na watu kupata vipigo
 
Back
Top Bottom