Jakaya Kikwete: Rais muungwana anayelipa ubaya kwa wema...

Hakika JK ni tunu tuliyozawadiwa Watanzania na Mwenyezi Mungu. Tena Mwandosya mwenyewe wakati ule alikuwa presidential material!
 
Nilidhani unazungumzia sual la katiba kumbe mambo ya kupeana ulaji.? Ukoo wa panya huo
Sio kila Mtanzania anaamini katika Katiba mpya. Hata uwe na Katiba nzuri vipi pasipo ubinadamu haitaweza tekelezeka.
 
Nawaza sana hivi km wakati ule Mwandosya angeachwa kwenye Baraza la Mawaziri leo hii ingekuwaje? Kdg nitoe machozi siku ile Mwandosya anaapishwa na kubakishwa kwenye Baraza. Ingekuwa Raisi mwingine pengine angempuzisha ili aendelee na tiba. Raisi Kikwete aliona tiba ya Mwandosya ni kumbakisha barazani. Ni ubinadamu wa hali ya juu kwa kweli!

ata lugha ya picha hauijui?
 
Ubunadamu mjumbe wa bunge la katiba posho laki saba kwa siku 700000/= siku 70 sawa na milioni arobaini na tisa
 
Threads za kipuuzi kama hizi ndo zinabaki kwa muda mrefu JF! ujinga kama kuo unabebesha watanzania mzigo wa baraza kuuubwa!
 
Nawaza sana hivi km wakati ule Mwandosya angeachwa kwenye Baraza la Mawaziri leo hii ingekuwaje? Kdg nitoe machozi siku ile Mwandosya anaapishwa na kubakishwa kwenye Baraza. Ingekuwa Raisi mwingine pengine angempuzisha ili aendelee na tiba. Raisi Kikwete aliona tiba ya Mwandosya ni kumbakisha barazani. Ni ubinadamu wa hali ya juu kwa kweli!

Nonsense!
 
Ujenzi wa nchi ni sawa tu na ujenzi wa daraja. Kwenye kujenga daraja huwezi kuallocate watu mradi tu 'unawapoza' la sivyo hutavuka mto.
Ndio maana wataalamu wa biashara wanasema kampuni ni entity inayojitegemea hivyo hakuna kuingiza undugu, ushikaji, huruma, la sivyo inafilisika kama nchi inavyoenda sasa!
 
hebu fuatilia kwa undani process za uteuzi wa majaji zinavyokuwa si kufanya ushabiki tu
majaji wengi nchi hii ni makanjanja, kingereza kibovu , wengi ni wa mikataba(they have nothing to loose ) uadilifu zero, wengi ni wapenda rushwa na wanakuwa controlled na mafisadi , kupata haki katika mahakama za juu katika nchii 35% possibilty, tutawakumbuka sana wakina jaji warioba, mihayo, mwaikasu, and other retired judges.................................................
 
Back
Top Bottom