Jakaya Kikwete ndio engine ya siasa za Tanzania kwa sasa

The power behind him ndo inamlinda. Connection zote za nje anazo yeye, systems zote ameweka vijana wake afu kamaliza kwa kujiweka karibu na wafanya biashara.
Hayo mengine ni ya wanasirikali wengine hatukomo, sisi tunawafuatiliaga mambo yaliyomo tu, hasa yatuhusumoo, mengine ni yenu wenyeewe🤔.
 
Ukiangalia yanayoendelea Ikulu kuanzia teuzi hadi hadi nchi inavyoendeshwa unaona kabisa ni JK nyuma ya pazia.

Hapa utaona approach ya mama kuhusu safari, kuhusu bandari ya Bagamoyo, kuhusu uwekezaji, nk unagundua ni JK tupu...
Uleyomba kineh?

Screenshot_20211029-110122.png
 
Mzee wa Msoga ndiye chanzo cha matatizo sugu kwenye hii nchi.

Imagine alimpendekeza Bwana Chato kuwa Rais kisha pia akampendekeza hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato ambae sasa hivi anaharibu nchi ya Tajikistan.Kwa hiyo tukapigwa mara mbili.That guy is a cursed fool!

View attachment 2078542
Jiwe si mshamba akaingizwa kwenye mtego wa urais akajiona ameulaa bila kujua what is next,usicheze na watoto wa mjini wewe,mzee yule kapotezwa kifala sana.
 
Ukiangalia yanayoendelea Ikulu kuanzia teuzi hadi hadi nchi inavyoendeshwa unaona kabisa ni JK nyuma ya pazia.

Hapa utaona approach ya mama kuhusu safari, kuhusu bandari ya Bagamoyo, kuhusu uwekezaji, nk unagundua ni JK tupu...
Kiongozi alieongoza kisha akatoka na kutazama mambo akiwa mstaafu,akirudi tena ata kama kwa nafasi tu ya ushauri uwa anakuwa mzuri sana maana amejifunza mengi na anaweza kurekebisha makosa na kukumbukwa daima.

Ujio wa JK ni safi sana maana hakuongoza kwa mkono wa chuma na anajua sasa wapi alikosea...tumpe fursa arekebishe ili akitangulia mbele za haki awe ameacha alama nzuri.
 
Tezi dume ni ugonjwa mbaya sana ukikufika.... gonjwa linalotibua nyongo na kusababisha kichefuchefu kama ilivyo kwa wajawazito ni noma kwa wahanga!. :cool:
 
Tatizo la Ngosha ni huo usukuma wake na kuzaliwa vijijini. Angekuwa Mtoto wa town yasingetokea.

Ngosha alikuwa ni Kiongoz wa maono but he was not technically and tactically.

Alikuwa anaamini RAIS ndio mpango mzima na ni mwisho wa kila kitu. Alisahau kuwa Rais ni taasisi na usaidizi wa watu.

Kwanza kitendo cha kupendekezewa VP ni ishara nyingine sio wa mjini. Pili, kitendo cha kudeal na big fish na kusahau kuwa ndani ya mfumo kuna small fish wengi wanaosapoti hao big fish anao deal nao ni ishara nyingine kuwa yeye ni wakuja.

Alipenyeza sana vijana wake ,but alisahau kuwa vijana wake hawana uzoefu tactically na technically, ni failure nyingine ya Ngosha.

Mbali na hapo , alitakiwa pia mabadiliko ayafanye kwa slowly but sure until atakapokuwa na uhakika kuwa system yote inamsujudia...... ilitakiwa iwe ni long term plan , angefanikiwa snaa na angeiokoa Tanzania.

LAW 45;

Preach the need for change ,but never reform too much at once ‘ - hii ndio hekima aliyoikosa Ngoja na ikamcost. Ali create ATTENTION na waasi waliomtafuna.

Hivyo, ilikuwa ni rahisi kumtoa ngosha kwenye reli alivyoanza kukimbizana na big fish kama ilivyo rahisi kunywa maji .
 
Mzee wa Msoga ndiye chanzo cha matatizo sugu kwenye hii nchi.

Imagine alimpendekeza Bwana Chato kuwa Rais kisha pia akampendekeza hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato ambae sasa hivi anaharibu nchi ya Tajikistan.Kwa hiyo tukapigwa mara mbili.That guy is a cursed fool!

View attachment 2078542
Unakosea sana! Kwa nini unatumia lugha ya matusi kwa viongozi wa nchi? Inasikitisha sana ndugu yangu kutumia Uhuru wa maoni kwa style hii.
 
Unakosea sana! Kwa nini unatumia lugha ya matusi kwa viongozi wa nchi? Inasikitisha sana ndugu yangu kutumia Uhuru wa maoni kwa style hii.
Anaesikitisha sana ni huyu anaetapeli wananchi.Mimi sina uwezo wa kuathiri wananchi nchi nzima kama yeye:

Wakati wa kampeni:👇

Baada ya kuingia Ikulu:👇🐒
 
Born town wako makini this time
Atakalo Mola litakuja tu ! Hata kama ungekuwa makini vipi !! Watakuja tena kumwamini na kumsaidia MTU afike pale juu wakidhani atakuwa MTU wao lakini akishakalia kiti cha Enzi atawabadilikia ! Hata watoto huwa wanawabadilikia wazee wao !! KARMA IS REAL !!
 
Ila itachukua muda.

Afu washatengeneza mfumo wao, ukiwasaliti unawahishwa akhera
Atakalo Mola litakuja tu ! Hata kama ungekuwa makini vipi !! Watakuja tena kumwamini na kumsaidia MTU afike pale juu wakidhani atakuwa MTU wao lakini akishakalia kiti cha Enzi atawabadilikia ! Hata watoto huwa wanawabadilikia wazee wao !! KARMA IS REAL !!
 
Alianza Nyerere tangu uhuru hadi 1995,
Likafuata kundi la JK. Baada ya kundi kugawanyika hali iliyopelekea upatikanaji wa JPM naona JK akaamua kusimama yeye mwenyewe.
Haya mambo haya hayajawahi kufika mwisho,yanaendaga hadi kwa vizazi na vizazi.
 
Ukiangalia yanayoendelea Ikulu kuanzia teuzi hadi nchi inavyoendeshwa unaona kabisa ni JK nyuma ya pazia.

Hapa utaona approach ya mama kuhusu safari, kuhusu bandari ya Bagamoyo, kuhusu uwekezaji, nk unagundua ni JK tupu.

Ukija kwa wakosoaji wakubwa wa serikali kupitia social medias ambao waliibuka kipindi cha JPM unagundua wako upande wa JK, na walipunguza ukosoaji mara baada ya kifo cha JPM, anza na Kigogo, njoo kwa Fatma Karume, Mange, Zitto nk

Maliza kwa watabiri wa JF,
Tumia Akili
Mwenye utabiri huu.

- Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

baada ya kifo cha JPM alitoa masharti ya aliyodai inaitwa the state kwenda kwa Samia,, ukiyasoma vizuri unagundua ni mawazo ya JK. Yani hadi katiba mpya maana nao ni mchakato ulioanzishwa na JK.

Masharti yenyewe ndo haya:
- Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Ikumbukwe pia kabla ya kifo JPM zilikuwepo tetesi kuwa JK hakuwa akiridhishwa na leadership style ya JPM na hapo ndo watabiri akiwemo Tumia Akili wakatutabiria msiba...

Mtabiri mwingine wa JF anayejulikana km TumainiEl ambaye alipata kuaminika baada ya kutabiri kupotea kwa Ben sa8 kisha mwezi August 2021 akatabiri yaliyotokea juzi Dodoma kwenye uzi huu:
- Natabiri yatakayotokea siku za usoni watanzania tuzidi kusali

nae kwenye uzi wake huu

- Mh. Rais, kwani mkopo wa madaktari ni wa bure hawalipi?

alimalizia kwa kumuomba JK apaze sauti. Kama kweli yuko kama anavyojinasibu yaweza kuwa JK hakutajwa kwa bahati mbaya.

Na inavyoonekana JK hajawa rasmi upande wa Samia, bado amemuweka kwenye uangalizi ndo maana baadhi ya maonyo yanatolewa kupitia kwa wasemaji wasio rasmi.

Iwapo mtazamo wangu utakuwa sahihi basi huyu mwamba anastahili heshima yake, haijalishi anatupeleka kuzuri au kubaya ila kitendo cha kuwaweka mkononi watu milioni sitini sio kitu cha kuchukulia poa.
Kimsingi hakuna aliyebaki mwenye kibesi kama yeye maana mzee Mwinyi ameshazeeka na ana senile decay maamuzi yake kwa sasa yako impaired na uzee.
 
Kiongozi alieongoza kisha akatoka na kutazama mambo akiwa mstaafu,akirudi tena ata kama kwa nafasi tu ya ushauri uwa anakuwa mzuri sana maana amejifunza mengi na anaweza kurekebisha makosa na kukumbukwa daima.

Ujio wa JK ni safi sana maana hakuongoza kwa mkono wa chuma na anajua sasa wapi alikosea...tumpe fursa arekebishe ili akitangulia mbele za haki awe ameacha alama nzuri.

Ukimtegemea mwanasiasa afix maisha yako.. you are a fool and shame on you
 
Ukimtegemea mwanasiasa afix maisha yako.. you are a fool and shame on you
Am talking about leadership at national level,and here you're talking about fixing life at individual level.

If just a common comment become an issue for u to understand,then your IQ is below level...to be precise you're mental retardation is getting worse.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom