Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,912
- 3,991
Nikiwa kijana mzalendo wa Taifa hili naomba kulaani Wizara ya michezo pamoja na TFF kutuzalilisha Watanzania kwa kutoweka mipango ya kumpokea kijana wetu Bwana Sammat.
Nimeamini afadahali TRA iwafilishi hawa TFF wamekaa tu wanakula jasho la Watanzania mtashangaa sana kusikia Sammata kapokelewa huko Kongo kama mfalme hii inaonyesha Taifa letu halina mipango na michezo mnajifanya hapa kazi tu nyie wabongo mliwahi kupata tuzo ya mchezaji bora wa afrika nasikitiaka sana.
Sammata huyu ndie angekua chachu kwa vijana wa Kitanzania kupambana kufikia malengo ila SerIkali ipo kimya mnategemea mje mtupelekee akina K Lyn au Aunt Ezekiel kutangaza utalii nje msijue Sammata ni lulu kwa nchi hii.
Huko Gabon kumelipuka wamempokea wakwao.
[/IMG]

Last edited by a moderator: