jakaya kikwete muhimili wa maisha bora kwa kila mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jakaya kikwete muhimili wa maisha bora kwa kila mtanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by father-xmas, Apr 22, 2010.

 1. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  hahaaaheheeehihihhihohohoohuhuuuu!
   
 2. b

  bnhai JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Hivi inawezekana Rais anatakiwa awe na watu maalum wa kukutana nao? Rais ni wa wananchi wote maana kicheko kama hicho si cha bure
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  board member haoo!!
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mwacheni mzee wa watu atafute dawa ya moyo. Mnataka ashindwe kila kitu?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Akiendelea na hii maneno next term ndoa yake iko mashakani!...!
  Mama salma anaona haya makitu kweli?
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mheshimiwa na picha kapendeza :rolleyez:
  [​IMG]
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhh FL1, kwa mwendo huu brain lazima iende taratibu, kama vile uko usingizini. Huwezi kupata heart attack kama unakutana na species kama hizi mara nyingi!
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Aaa! Mr. Presidaa huyo!! amependeza!
   
 9. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  prezdaaa wetu ni handsome kuliko wote afrika ndo maana nitampa kula ili niendelee kumuona ,,,(nani anabisha)
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kumbe kinachokuvutia Bi dada ni hicho tu...?ha ha ha
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  yaleyale ya ZE UTAMU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  mmerudia tena kumchafua? au kuna kaukweli kokote?
  mwacheni atanue kataabika sana kupata uongozi toka enzi za mwalimu..........................
  tehe tehe tehe..........................................
   
 12. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #12
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Let our President Enjoy life is too short
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ni hicho tu mwaya hehehee!
  uhandsome wa prezdaa wangu unatosha kabisa kunipatia maisha bora,nitake nini zaidi jamani na smile lake aaah linafanya tanzania yangu iwe paradiso!
  tumpe kula tusimpeee!!!
   
 14. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "Maisha bora kwa kila Mtanzania".Huyu ndio mkwele halisi bwana.Ndio maaaanaaaaaaa
   
 15. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wana meremeta wanameremeta.
   
 16. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Duh..huyu mkulu kwenye sekta hii kumbe hajambo!
   
 17. m

  mtoto wa mjini JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 1,536
  Likes Received: 679
  Trophy Points: 280
  Mna wivu!.
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Umesema vyema, ila hujamalizia..ulitakiwa useme a-enjoy kwa gharama zake na sio fedha za wavuja jasho.
   
Loading...