Kwa hiyo unabisha hakuyafanya hayo huko Kenya?Upuzi mtupu mbona hajasaidia Tanzania kupata KATIBA mpya?
Mbona alivuruga KATIBA ya Warioba?
Mbona akileta jeshi kuuwa wazanzibar
Kwa nini wanasiasa wanakuwa hawana hayaa???
Jakaya huyu WA goli la mkono au mwengine??
Jakaya huyu wa Tume wanaiyoiendesha Kwa remote au mwengine?
Jakaya huyu anopeleke majeshi ZANZIBAR kuizuwia Democracy au yupo mwengine
Jakaya huyu aloua WAZANZIBARI kisa kukataa dhulma ni huyu au yupo mwengine?
Jakaya huyu alobariki UHUNI wa JECHA? au yupo mwengine??
Jakaya huyu anaechekelea ubakaji WA democracy NI YY au yupo mwengine?
DUNIANI wawili wawili lakini kama NI huyu waliomchagua watuombe Radhi au Sisi tunastahiki tunayofanyiwa na watu hawa ndio maana wanapongezwa Kwa kuteuliwa
ETI wakasimamie Demkrasia KAZI iliyowashinda katika Nchi zao???
Acha kutupiga kamba Mkuu, waliosuluisha mgogoro wa uchaguzi mwaka 2002 ni Hayati Benjamin Mkapa na Dr Kofi Anan. Tunajua mnampenda huyo msanii wenu Ila wakati ule alikuwa Waziri wa mambo ya nje tu, akitumwa kazi na Rais. Yeye Katiba mpya ilimshinda nini, mpaka aweze kuwasaidia Wakenya.Anaongoza ujumbe wa waangalizi wa nchi zingine za Afrika Afrika masharik
Pia yeye ndie iwasuluhuhisha wajaluo na wakikuyu wasiendelee kuuana
Ndiye aliyesaidia Kenya kupata katiba mpya baada ya vita yao ya kikabila
Watu wengine huwa wanajua kuiga kuvaa Suti na Tai na kutumia vijiko na uma kwa chakula !! Full stop !!!Mwache aende akajifunze ustaarabu ktk siasa ulivyo ili ujinga uondolewe na ukweli utawale ktk siasa za tanzania pia. Kenya sio siri wako mbali sana, hebu jiulize kama kidemokrasia wako hivyo bila shaka yoyote maendeleo yao yako mbali. Tijifunze kuiga mambo mazuri kama haya kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu la Tanzania, huko nyuma tumetia aibu kubwa ulimwenguni na hakika hata mungu mwenyewe tulimsikitisha sana. Tukishindwa kuheshimu sauti ya wengi ambayo ni ya mungu, basi tujue mungu hata kaa kimya. Hongereni Kenya kwa siasa zenye akili timamu.
Inasikitisha sana !Jakaya huyu WA goli la mkono au mwengine??
Jakaya huyu wa Tume wanaiyoiendesha Kwa remote au mwengine?
Jakaya huyu anopeleke majeshi ZANZIBAR kuizuwia Democracy au yupo mwengine
Jakaya huyu aloua WAZANZIBARI kisa kukataa dhulma ni huyu au yupo mwengine?
Jakaya huyu alobariki UHUNI wa JECHA? au yupo mwengine??
Jakaya huyu anaechekelea ubakaji WA democracy NI YY au yupo mwengine?
DUNIANI wawili wawili lakini kama NI huyu waliomchagua watuombe Radhi au Sisi tunastahiki tunayofanyiwa na watu hawa ndio maana wanapongezwa Kwa kuteuliwa
ETI wakasimamie Demkrasia KAZI iliyowashinda katika Nchi zao???
Viongozi wa vyama vya siasa ikiwemo CCM ndio wanataka katiba mpya, huku chini mitaani wananchi wala hata hawaelewi katiba mpya ndio mdudu gani. Kenya ilikuwa balaa, wananchi walikuwa kila kona wanaitaka sio viongozi pekee wa vyama vya siasa!!!Mimi si Chadema lkn nautaka
Warioba si Chadema lkn ananitaka Msuya si Chadema lkn anaitaka KAMATI kuu ya CCM si Chadema lkn wanaitaka
Tanzania imefanikiwa kuwalaza watu wake Kwa kutumia silaha ya kiwakosesha ELIMU wenzetu ndio maana ni Tanzania pekee hata JIWE linaweza kuwa RaisViongozi wa vyama vya siasa ikiwemo CCM ndio wanataka katiba mpya
Huku chini mitaani wananchi wala hata hawaelewi katiba mpya ndio mdudu gani
Kenya ilikuwa balaa wananchi walikuwa kila kona wanaitaka sio viongozi pekee wa vyama vya siasa!!!
Hakika usemayo ni kweli kabisa!! Jamaa kwenye uongozi alikuwa anatafuta kitu alichokuwa anakipenda sana na nadhani amekipata sana tu !! Lakini pia ni hulka ya mwanadamu ukishakipata ulivhokuwa unakipenda sana baadaye unakiona kumbe ni cha kawaida tu wala sio kitu cha maana sana na wala sio kila kitu hicho kitu !!! Pengine naota tu !!Msoga king alibakiwa kura turufu Moja tu ku cement legacy vizazinja vizazi.
Nayo si nyingine ni KATIBA MPYA NA SAFI.
Ameshindwa Hilo kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
Akija tokea rais akaipa nchi hii KATIBA MPYA na Bora atakumbukwa vizazi na vizazi kama akina Lincoln na wenzake pale mount Rushmore.
Haya wajenga madaraja,sijui barabara wanapoyeza muda wao.
Sababu ni mambo yanayowezekana Kila mtu atajenga haya makitu.
Watz wanataka kitu walichokikosa,kinachowatatiza ,kinachokwamisha ustawi wao.
Anyway acheni akatalii huko Hana msaada wowote kwa Watz kwa Sasa.
Haitomsaidia kitu huko tuendako ! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu ! Sema kweli daima hata kama ni mchungu kwa baadhi ya watu !!Jakaya ni 'Teeth'! Anauma na kupuliza... 😀😀😀
Mara nyingi nakuambiaga huna akili, HUNA.Humu jf ni jukwaa la Jakaya? Tumia akili we poyoyo.
Kuchaguliwa na akina m7, kagame, kir na wahuni wengine weusi na waarabuJakaya huyu WA goli la mkono au mwengine??
Jakaya huyu wa Tume wanaiyoiendesha Kwa remote au mwengine?
Jakaya huyu anopeleke majeshi ZANZIBAR kuizuwia Democracy au yupo mwengine
Jakaya huyu aloua WAZANZIBARI kisa kukataa dhulma ni huyu au yupo mwengine?
Jakaya huyu alobariki UHUNI wa JECHA? au yupo mwengine??
Jakaya huyu anaechekelea ubakaji WA democracy NI YY au yupo mwengine?
DUNIANI wawili wawili lakini kama NI huyu waliomchagua watuombe Radhi au Sisi tunastahiki tunayofanyiwa na watu hawa ndio maana wanapongezwa Kwa kuteuliwa
ETI wakasimamie Demkrasia KAZI iliyowashinda katika Nchi zao???
Anaongoza ujumbe wa waangalizi wa nchi zingine za Afrika Afrika masharik
Pia yeye ndie iwasuluhuhisha wajaluo na wakikuyu wasiendelee kuuana
Ndiye aliyesaidia Kenya kupata katiba mpya baada ya vita yao ya kikabila