Jakaya Kikwete kaenda kufanya nini uchaguzi Kenya?

Mleta mada akili yake inaongozwa na upinzani wa zaman wa kuamini kuwa kila uchaguzi mkuu cuf inaibiwa.
JECHA alipofuta UCHAGUZI washindi na washindwa wote walishapewa form na walisharidhia wacha ubwege wewe
 
Upuzi mtupu mbona hajasaidia Tanzania kupata KATIBA mpya?
Mbona alivuruga KATIBA ya Warioba?
Mbona akileta jeshi kuuwa wazanzibar
Kwa nini wanasiasa wanakuwa hawana hayaa???
Kwa hiyo unabisha hakuyafanya hayo huko Kenya?
 
Jakaya huyu WA goli la mkono au mwengine??

Jakaya huyu wa Tume wanaiyoiendesha Kwa remote au mwengine?

Jakaya huyu anopeleke majeshi ZANZIBAR kuizuwia Democracy au yupo mwengine

Jakaya huyu aloua WAZANZIBARI kisa kukataa dhulma ni huyu au yupo mwengine?

Jakaya huyu alobariki UHUNI wa JECHA? au yupo mwengine??

Jakaya huyu anaechekelea ubakaji WA democracy NI YY au yupo mwengine?

DUNIANI wawili wawili lakini kama NI huyu waliomchagua watuombe Radhi au Sisi tunastahiki tunayofanyiwa na watu hawa ndio maana wanapongezwa Kwa kuteuliwa
ETI wakasimamie Demkrasia KAZI iliyowashinda katika Nchi zao???

Mwache aende akajifunze ustaarabu ktk siasa ulivyo ili ujinga uondolewe na ukweli utawale ktk siasa za tanzania pia. Kenya sio siri wako mbali sana, hebu jiulize kama kidemokrasia wako hivyo bila shaka yoyote maendeleo yao yako mbali. Tijifunze kuiga mambo mazuri kama haya kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu la Tanzania, huko nyuma tumetia aibu kubwa ulimwenguni na hakika hata mungu mwenyewe tulimsikitisha sana. Tukishindwa kuheshimu sauti ya wengi ambayo ni ya Mungu, basi tujue mungu hata kaa kimya. Hongereni kenya kwa siasa zenye akili timamu.
 
Anaongoza ujumbe wa waangalizi wa nchi zingine za Afrika Afrika masharik

Pia yeye ndie iwasuluhuhisha wajaluo na wakikuyu wasiendelee kuuana

Ndiye aliyesaidia Kenya kupata katiba mpya baada ya vita yao ya kikabila
Acha kutupiga kamba Mkuu, waliosuluisha mgogoro wa uchaguzi mwaka 2002 ni Hayati Benjamin Mkapa na Dr Kofi Anan. Tunajua mnampenda huyo msanii wenu Ila wakati ule alikuwa Waziri wa mambo ya nje tu, akitumwa kazi na Rais. Yeye Katiba mpya ilimshinda nini, mpaka aweze kuwasaidia Wakenya.

Tupunguze porojo, Kikwete et al kutoka Tanzania hawana hadhi ya kusimamia uchaguzi kwenye nchi zingine unless kama katumwa na Mabeberu.
 
Mwache aende akajifunze ustaarabu ktk siasa ulivyo ili ujinga uondolewe na ukweli utawale ktk siasa za tanzania pia. Kenya sio siri wako mbali sana, hebu jiulize kama kidemokrasia wako hivyo bila shaka yoyote maendeleo yao yako mbali. Tijifunze kuiga mambo mazuri kama haya kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu la Tanzania, huko nyuma tumetia aibu kubwa ulimwenguni na hakika hata mungu mwenyewe tulimsikitisha sana. Tukishindwa kuheshimu sauti ya wengi ambayo ni ya mungu, basi tujue mungu hata kaa kimya. Hongereni Kenya kwa siasa zenye akili timamu.
Watu wengine huwa wanajua kuiga kuvaa Suti na Tai na kutumia vijiko na uma kwa chakula !! Full stop !!!
 
Msoga king alibakiwa kura turufu moja tu ku cement legacy vizazi na vizazi, nayo si nyingine ni KATIBA MPYA NA SAFI. Ameshindwa Hilo kwa makusudi au kwa bahati mbaya? Akija tokea Rais akaipa nchi hii KATIBA MPYA na bora atakumbukwa vizazi na vizazi kama akina Lincoln na wenzake pale Mount Rushmore. Hawa wajenga madaraja, sijui barabara wanapoteza muda wao sababu ni mambo yanayowezekana kila mtu atajenga haya makitu. Watanzania wanataka kitu walichokikosa, kinachowatatiza, kinachokwamisha ustawi wao. Anyway acheni akatalii huko, hana msaada wowote kwa watanzania kwa sasa.
 
Jakaya huyu WA goli la mkono au mwengine??

Jakaya huyu wa Tume wanaiyoiendesha Kwa remote au mwengine?

Jakaya huyu anopeleke majeshi ZANZIBAR kuizuwia Democracy au yupo mwengine

Jakaya huyu aloua WAZANZIBARI kisa kukataa dhulma ni huyu au yupo mwengine?

Jakaya huyu alobariki UHUNI wa JECHA? au yupo mwengine??

Jakaya huyu anaechekelea ubakaji WA democracy NI YY au yupo mwengine?

DUNIANI wawili wawili lakini kama NI huyu waliomchagua watuombe Radhi au Sisi tunastahiki tunayofanyiwa na watu hawa ndio maana wanapongezwa Kwa kuteuliwa
ETI wakasimamie Demkrasia KAZI iliyowashinda katika Nchi zao???
Inasikitisha sana !
 
Mimi si Chadema lkn nautaka
Warioba si Chadema lkn ananitaka Msuya si Chadema lkn anaitaka KAMATI kuu ya CCM si Chadema lkn wanaitaka
Viongozi wa vyama vya siasa ikiwemo CCM ndio wanataka katiba mpya, huku chini mitaani wananchi wala hata hawaelewi katiba mpya ndio mdudu gani. Kenya ilikuwa balaa, wananchi walikuwa kila kona wanaitaka sio viongozi pekee wa vyama vya siasa!!!
 
Viongozi wa vyama vya siasa ikiwemo CCM ndio wanataka katiba mpya

Huku chini mitaani wananchi wala hata hawaelewi katiba mpya ndio mdudu gani

Kenya ilikuwa balaa wananchi walikuwa kila kona wanaitaka sio viongozi pekee wa vyama vya siasa!!!
Tanzania imefanikiwa kuwalaza watu wake Kwa kutumia silaha ya kiwakosesha ELIMU wenzetu ndio maana ni Tanzania pekee hata JIWE linaweza kuwa Rais
 
Msoga king alibakiwa kura turufu Moja tu ku cement legacy vizazinja vizazi.

Nayo si nyingine ni KATIBA MPYA NA SAFI.

Ameshindwa Hilo kwa makusudi au kwa bahati mbaya.

Akija tokea rais akaipa nchi hii KATIBA MPYA na Bora atakumbukwa vizazi na vizazi kama akina Lincoln na wenzake pale mount Rushmore.

Haya wajenga madaraja,sijui barabara wanapoyeza muda wao.

Sababu ni mambo yanayowezekana Kila mtu atajenga haya makitu.

Watz wanataka kitu walichokikosa,kinachowatatiza ,kinachokwamisha ustawi wao.

Anyway acheni akatalii huko Hana msaada wowote kwa Watz kwa Sasa.
Hakika usemayo ni kweli kabisa!! Jamaa kwenye uongozi alikuwa anatafuta kitu alichokuwa anakipenda sana na nadhani amekipata sana tu !! Lakini pia ni hulka ya mwanadamu ukishakipata ulivhokuwa unakipenda sana baadaye unakiona kumbe ni cha kawaida tu wala sio kitu cha maana sana na wala sio kila kitu hicho kitu !!! Pengine naota tu !!
 
Akiwa na huyu, waee macho sana
IMG-20220810-WA0033.jpg
 
Sio lazima tufanane na Kenya.
Mazingira ya Kenya hayawezi kuwa sawa na Tanzania.
Kwani JK Kenya kajipeleka au kuna watu waliosoma walikaa mahala na kuamua yeye ndiye aende kwa hiyo kazi?
Unavyoona wewe sio wanavyoona wengine.
 
Hata katika kundi la vilema, kuna wa afadhali. Kama asingekuwa Jakaya, angekuwa:

Museveni
Kagame
Mrithi wa Nkusinza
Tshikesi
Au yule wa South Sudan
 
Sio kila wakati lazima matakwa au maamuzi ya wapiga kura yakubalike.

Wazungu walitengeneza neno demokrasia ili wafanikishe mambo yao fulani fulani kwenye baadhi ya nchi. Hata huko Ulaya na USA kinachoitwa maamuzi ya wananchi hakipo bali huwa ni back door decision za wahuni.

Ukiona mtu amekuwa Rais nchi fulani kwa kupitia box la kura basi ujue kuna vitu viwili, either ni chaguo la wahuni wasioonekana au tayari yuko compromise kwa faida na hesabu za hao wahuni.
 
Jakaya huyu WA goli la mkono au mwengine??

Jakaya huyu wa Tume wanaiyoiendesha Kwa remote au mwengine?

Jakaya huyu anopeleke majeshi ZANZIBAR kuizuwia Democracy au yupo mwengine

Jakaya huyu aloua WAZANZIBARI kisa kukataa dhulma ni huyu au yupo mwengine?

Jakaya huyu alobariki UHUNI wa JECHA? au yupo mwengine??

Jakaya huyu anaechekelea ubakaji WA democracy NI YY au yupo mwengine?

DUNIANI wawili wawili lakini kama NI huyu waliomchagua watuombe Radhi au Sisi tunastahiki tunayofanyiwa na watu hawa ndio maana wanapongezwa Kwa kuteuliwa
ETI wakasimamie Demkrasia KAZI iliyowashinda katika Nchi zao???
Kuchaguliwa na akina m7, kagame, kir na wahuni wengine weusi na waarabu
 
Anaongoza ujumbe wa waangalizi wa nchi zingine za Afrika Afrika masharik

Pia yeye ndie iwasuluhuhisha wajaluo na wakikuyu wasiendelee kuuana

Ndiye aliyesaidia Kenya kupata katiba mpya baada ya vita yao ya kikabila

Wajinga ndio huwa wanaongopewa kuwa Kikwete ndio alienda kuwapatanisha Wakenya. JK alikuta wakenya wameshaona kuuna hakuwalipi, basi akalazimisha kuchukua pointi za mezani. Nenda hata huko Kenya uone kama wanamtaja JK kama mtu aliyewapatanisha.

Hii porojo kuwa JK aliwapatanisha Wakenya, iaminini nyie chama cha majizi ya kura.
 
Back
Top Bottom