Jakaya Kikwete kaenda kufanya nini uchaguzi Kenya?

dega

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
3,138
3,042
Jakaya huyu wa goli la mkono au mwengine??
Jakaya huyu wa tume wanaiyoiendesha kwa remote au mwengine?
Jakaya huyu anaepeleke majeshi Zanzibar kuizuia democracy au yupo mwengine?
Jakaya huyu aliyeua wazanzibari kisa kukataa dhulma, ni huyu au yupo mwengine?
Jakaya huyu aliyebariki uhuni wa Jecha au yupo mwengine??
Jakaya huyu anaechekelea ubakaji wa democracy, ni yeye au yupo mwengine?

DunianiI wawili wawili lakini kama ni huyu, waliomchagua watuombe radhi. Au sisi tunastahili tunayofanyiwa na watu hawa ndio maana wanapongezwa kwa kuteuliwa? Eti wakasimamie demkrasia, kazi iliyowashinda katika nchi zao!
 
Jakaya huyu WA goli la mkono au mwengine??

Jakaya huyu wa Tume wanaiyoiendesha Kwa remote au mwengine?

Jakaya huyu anopeleke majeshi ZANZIBAR kuizuwia Democracy au yupo mwengine

Jakaya huyu aloua WAZANZIBARI kisa kukataa dhulma ni huyu au yupo mwengine?

Jakaya huyu alobariki UHUNI wa JECHA? au yupo mwengine??

Jakaya huyu anaechekelea ubakaji WA democracy NI YY au yupo mwengine?

DUNIANI wawili wawili lakini kama NI huyu waliomchagua watuombe Radhi au Sisi tunastahiki tunayofanyiwa na watu hawa ndio maana wanapongezwa Kwa kuteuliwa
ETI wakasimamie Demkrasia KAZI iliyowashinda katika Nchi zao???
Elimu Haina mwisho🤔
 
Huyo ni Vasco Da Gama. Hana cha kujifunza kwenye huo uchaguzi, zaidi tu ya kutalii. Jana anahojiwa na Ivona Kamuntu kwa kiswahili, eti yeye analeta mambo ya uzungu!

Mpaka Ivona Kamuntu akaona bora ampe tu makavu, ndipo akatoa maelezo yake kwa kiswahili.
 
Anaongoza ujumbe wa waangalizi wa nchi zingine za Afrika Afrika masharik

Pia yeye ndie iwasuluhuhisha wajaluo na wakikuyu wasiendelee kuuana

Ndiye aliyesaidia Kenya kupata katiba mpya baada ya vita yao ya kikabila
Upuzi mtupu mbona hajasaidia Tanzania kupata KATIBA mpya?
Mbona alivuruga KATIBA ya Warioba?
Mbona akileta jeshi kuuwa wazanzibar
Kwa nini wanasiasa wanakuwa hawana hayaa???
 
Jakaya huyu WA goli la mkono au mwengine??

Jakaya huyu wa Tume wanaiyoiendesha Kwa remote au mwengine?

Jakaya huyu anopeleke majeshi ZANZIBAR kuizuwia Democracy au yupo mwengine

Jakaya huyu aloua WAZANZIBARI kisa kukataa dhulma ni huyu au yupo mwengine?

Jakaya huyu alobariki UHUNI wa JECHA? au yupo mwengine??

Jakaya huyu anaechekelea ubakaji WA democracy NI YY au yupo mwengine?

DUNIANI wawili wawili lakini kama NI huyu waliomchagua watuombe Radhi au Sisi tunastahiki tunayofanyiwa na watu hawa ndio maana wanapongezwa Kwa kuteuliwa
ETI wakasimamie Demkrasia KAZI iliyowashinda katika Nchi zao???
Mpigie simu muulize
 
Maneno mazito sana kwa watu wenye akili
 
Huu Uzi umeandikwa kimasihara ila una ukweli %100 na Moja ..ha ha aaa
 
Anaongoza ujumbe wa waangalizi wa nchi zingine za Afrika Afrika masharik

Pia yeye ndie iwasuluhuhisha wajaluo na wakikuyu wasiendelee kuuana

Ndiye aliyesaidia Kenya kupata katiba mpya baada ya vita yao ya kikabila
Wakati kwake Kuna katiba mbovu ajabu hii
 
Upuzi mtupu mbona hajasaidia Tanzania kupata KATIBA mpya?
Sio Hitaji la wananchi walio weng ikwa Tanzania

Kenya kila kona wananchi walikuwa wanaongelea katiba mpya .Tanzania ni viongozi tu wa vyama vya siasa ndio wanaongelea tena wachache

Wananchi wanaongelea sana mambo ya Simba day na Yanga day sio Katiba Mpya
 
Jakaya huyu WA goli la mkono au mwengine??

Jakaya huyu wa Tume wanaiyoiendesha Kwa remote au mwengine?

Jakaya huyu anopeleke majeshi ZANZIBAR kuizuwia Democracy au yupo mwengine

Jakaya huyu aloua WAZANZIBARI kisa kukataa dhulma ni huyu au yupo mwengine?

Jakaya huyu alobariki UHUNI wa JECHA? au yupo mwengine??

Jakaya huyu anaechekelea ubakaji WA democracy NI YY au yupo mwengine?

DUNIANI wawili wawili lakini kama NI huyu waliomchagua watuombe Radhi au Sisi tunastahiki tunayofanyiwa na watu hawa ndio maana wanapongezwa Kwa kuteuliwa
ETI wakasimamie Demkrasia KAZI iliyowashinda katika Nchi zao???

Wanajitoaga akili tu. waendelee kula mema ya nchi hii...
 
Anaongoza ujumbe wa waangalizi wa nchi zingine za Afrika Afrika masharik

Pia yeye ndie iwasuluhuhisha wajaluo na wakikuyu wasiendelee kuuana

Ndiye aliyesaidia Kenya kupata katiba mpya baada ya vita yao ya kikabila
Huu ni uzuzu, charity start at home! ndio maana kuna mtu alitufanya watanzania kuwa mazuzu
 
Huyu ni mwangalizi wa nchi za Afrika mashariki (TZ,Ke,Uh,S.Sud,Rwa, Bur & Dr Congo).Kumbuka nyingi ya nchi hizi hazina viongozi wastaafu hivyo hao wachache waliopo huyu ndiyo kaonekana afadhali afadhali.
 
Huu ni uzuzu,charity start at home!,ndio maana kuna mtu alitufanya watanzania kuwa mazuzu
Wakenya wote walitaka katiba mpya

Tanzania viongozi wa Chadema ndio wanaimba kutaka katiba mpya
Tanzania hitaji sio kubwa kama ilivyokuwa Kenya.
 
Anaongoza ujumbe wa waangalizi wa nchi zingine za Afrika Afrika masharik

Pia yeye ndie iwasuluhuhisha wajaluo na wakikuyu wasiendelee kuuana

Ndiye aliyesaidia Kenya kupata katiba mpya baada ya vita yao ya kikabila
Mleta mada akili yake inaongozwa na upinzani wa zaman wa kuamini kuwa kila uchaguzi mkuu cuf inaibiwa.
 
Wakenya wote walitaka katiba mpya

Tanzania viongozi wa Chadema ndio wanaimba kutaka katiba mpya
Tanzania hitaji sio kubwa kama ilivyokuwa Kenya.
Mimi si Chadema lkn nautaka
Warioba si Chadema lkn anaitaka Msuya si Chadema lkn anaitaka KAMATI kuu ya CCM si Chadema lkn wanaitaka
 
Back
Top Bottom