Mkuu kwenu ni mkoa na wilaya gani? Nataka kulimaUjinga Kama Huu Kamwe Hutaweza Kuendelea
Mpaka Sasa Mimi ni Mkulima Huku Shamba La
Ecre Moja bei gani?
Mbolea ya za Chumvi chumvi bei gani?
Mimi Binafsi Ekari tatu Bila Kutumia Kibarua Naweza Kulima huku kwetu Ekali Moja Kibarua analima kwa 15,000-20,000
Mkuu Endelea Kusubiri Upate 20,000,000 ndo Uanze Kulima.