Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za Kujitolea

Post ya kijinga ya mwaka mzima naomba tuipigie kura hii hapa....yan Rais wa nchi mstaafu unamfananisha na graduate wa (mucobs) are SERIOUS...??

Unajua hata kuwekeza kwenye kilimo kunahitaji mtaji wa bei gani..? Au na wewe ndio wale mabank teller wanaoambiwa ukilima kitunguu ekari 1 unapata faida mil.15..?

Never underestimate a graduate kwa mfanano wa successiful man utakua unakufuru.

FACT
 
Kaka uz wako si mbaya ila next day Fanya research Kwanzaa uone how kilimo cha mafanikio kinakuwa conducted, cause wengne tumefanya but mtu ambae ashafanikiwa Kama JK ndoo wanatoboa cause pesa sio ya Mawazo.

Nani asiependa kufanikiwa katka maisha? but kilimo cha bongo unasbiri mvua kutoka kwa God while huko Nigeria project za nguv znatengenezwa kwa kutuma irrigation
 
Mi naona watu waliobahatika kupata ajira mapema baadhi yao wanasumbua sana kwa kuwasema wasio na ajira wakalime, YES nasema ni ushauri mzuri sana tena sana lkn never underestimate shughuli inaitwa kilimo ndugu zangu, Kilimo kinahitaji mtaji tena sio mtaji lele mama. Sawa hata mtu akianza na nusu ekari ama ekari moja lkn je huo mtaji anao? ikumbukwe huyu mtu ndio kwanza kamaliza chuo, pesa aiyokuwa anategemea ni boom la HESB,{kama alikuwa nalo}. baada ya chuo its obviours atakuwa hana any source of income, nyumani nako netwek haisomi so ushauri wako mkuu
Troll JF Ni mzuri kn nilizani kama ungeishambulia serikali ambayo imeitupa sekta ya kilimo ambacho kingeajiri vijana graduates kibao. kwa mfano serikali yetu haishindwi kuleta tractor 10000 ikazikopesha kwa vijana kumi kumi na kuwapa mtaji na ardhi kidogo na mkopo wa fedha na other farm implements na hata kuwatafutia masoko baada ya mavuno hii ndo ingekuwa solution kuu ya kupambana na ukoefu wa ajira nchini, tizama leo serikali yetu imeingia deal tamu na serikai ya CHINA juu ya zao a mihogo na mazao mengine ya muda mfupi mfupi.. hapa ndio serikali yetu ingepiga bao kwa vijana kujiingiza kwenye hiki kilimo kwa kuwasaidia kama nilivyosema hapo juu na zaidi.

Kwa hiyo kwa mtazamo wangu hamna haja ya kuwashambuia graduates eti wanatembeza bahasha kutafuta ajira... wengi wanasaka mitaji jaman.... lkn ikumbukwe na wewe ulisaka ajira hivo hivo kwa hiyo waache na wao ndio muda wao ikifika muda wa kuzama shamba watazama. ila wale graduates wenye mitaji tayari mi nasema ushauri wa Trolls JF ni mzuri ufanyiwe kazi haraka

Anyway wadau nina mengi ya kuweka hapa sema nachunga muda wenu a sa a great thinker.....
 
Ujinga Kama Huu Kamwe Hutaweza Kuendelea

Mpaka Sasa Mimi ni Mkulima Huku Shamba La

Ecre Moja bei gani?
Mbolea ya za Chumvi chumvi bei gani?

Mimi Binafsi Ekari tatu Bila Kutumia Kibarua Naweza Kulima huku kwetu Ekali Moja Kibarua analima kwa 15,000-20,000

Mkuu Endelea Kusubiri Upate 20,000,000 ndo Uanze Kulima.
Hizi ni local cost benefit analysis, hazifanyi kazi kwenye uhalisia wa mambo
 
Kilimo kinahitaji mtaji wa kueleweka. Huyu JK unaemsifia hapa alitembeza bahasha hadi akawa anazimia majukwaani kuomba 'kujitolea' ndio akapata mtaji! Kamshauri wasirra aache kuappeal kesi kila siku akalime.
Nawashangaa sana wanaokuja na agricultural inspiration, wakisahau kwa maksudi vikwazo vikwazo vinavyokikuta kilimo hapa nchini.
 
Tuamke tukaanze Kilimo wakuu hali ni mbaya siyo lazima wote mkaajiriwa. Mimi Roho huwa inaniuma Mtu anavyokuja na Kuandika thread nataka Sehemu ya Kujitolea bila Malipo hebu Imagine Sehemu hiyo unayojitolea vipi kama ungekua umeanzisha Kilimo cha Ekari Mbili za Vitunguu au ungekua unamiliki mgahawa kwa Pesa ulivyotumia kununulia Galaxy S7

Si sifa Asubuhi kuvaa Kiminini na high heels au Kuchomekea shati tayari kwenda kutumwa tena bure kuna Projects ulipiga Mara Mbili Kipato cha Mfanyakazi wa Halimashauri anayeanza Kitakua Mara Mbili

Nakumbuka mwaka 2016 Mfanyakazi wa Halimashauri mwenye Degree za Kawaida kama Uhasibu, Sheria ilikua ni 716,000/= before statutory deductions

Hapo Piga
NSSF= 10%
NHIF=3℅
Workers Comp=1℅
HESLB=15℅
Tax=25 Plus 14℅ ya Level 3

Aisee huyu Jamaa anaweza Kujikuta kwa Mwaka anapokea Tsh. 6,500,000 kwa mwaka kama Mshahara

Kuna Project sitazitaja ukizikodolea Macho unaweza kupiga Mara 3 ya hizo Pesa kwa mwaka wa 1.

Mimi mwenyewe nataka Niache Kazi tukapambane nimechoka Kutumwa.

Leo Rais Jakaya Kikwete alikua anakagua shamba lake Msoga.
View attachment 510659 View attachment 510660 View attachment 510661

Uzi huu nitauongezea Nyama Usiku Nikitulia najua Reactions za watu zitakua negative sana.

UPDATE 2 (Vitu nilivyojifunza)
Baada ya Kusoma Comments za Matusi ya Baadhi ya watu nimelia nimetoka Mafua ni Flue Mtindo Mmoja.

Kwa Kuangalia tuu mwandiko physiologically Ni Majibu ya watu wenye Hasira waliotapeliwa na Waalimu wao wa Vyuo.

Kitu kingine nilichogundua watu hawajui hata Ukubwa wa Ekari Moja Ukoje anaanza gharama za Kulima sijui Tsh. 50,000/= Daah yaani hata Kilimo cha Ekari 2 ya Viazi Mviringo au Vitunguu unataka Ufahari wa mtu akulimie?

"Mtoto wa Masikini'' Nimesikitishwa na Phrase hii imekua ikitumiwa na Wengi yaani wanaona Umasikini ni Sifa badala ya Kujinasua. Mimi binafsi Maneno hata ya aliyekua mkuu wa Mkoa wa Morogoro yalinitisha Dr. Ambaye ni Mkuu wa Mkoa anasema yeye ni ""Mtoto wa Masikini"" niwakumbushe tuu kuna Umri ukifika hata Kama huna wazazi wote hautakiwi kujiita ''Yatima'' hili naona ni jina linalotumika kwa Watoto wadogo.

Mentality za Wengi wanataka Kuanza na Kilimo cha Ekari 100 wakati hata Ekari Moja hajawahi Kuthubutu.

Kila Kitu kina Gharama zake na Uncertainties zake Sasa unajua Kabisa Nyanya na Mvua haziendani huo ndo Muda wako wa Kuzilima sasa kwa sababu zinakua Chache wewe unakuja Kulima wakati wa kiangazi wakati kila mtu amelima Mwisho kitakua chakula cha Nguruwe.

Kumtumia Rais Jakaya Kikwete wengi wamechukulia jinsi lilivyo hawajawaza Kua nimemtumia JK kama Kuonesha kuwa Kilimo si Kazi ya Kudharaulika kama wanavyofikiri baadhi ya Graduates.

Ni kweli uliondoka Kijijini Taangu ulivyomaliza darasa la 7 unarudi Likizo Ukiwa na Kakimini kako na High heels unatingisha tutako au kama Mwanaume Umechomekea kishati chako huku umenyoa Kiduku Mimi Leo kukuambia Ulime utaniona Kama nimechanganyikiwa.

Raia/graduates wengi wamepanic ni Lazima kwa sababu tumeingia New Era tusijifananishe na Wakati wa JK amemaliza Chuo wakati kuna Chuo Kikuu kimoja tuu UDSM watu mpaka mwanzoni Mwa miaka ya 2,000's ulikua ukimaliza Chuo unasubiri Barua ya Post na si kwenda watu hawa walikua hawatembezi Bahasha za Khaki wala kupambana kwenye Interview Leo hii Nyinyi wenyewe mashahidi ikitangazwa Kazi mnavyokua wengi, Yote haya ni Maendeleo ya Elimu huku sekta nyingine zikiwa bado so Nchi kama za Nigeria wenzetu walishazoea hii Hali Mimi ni member wa Forum Moja maarufu ya Nigeria Najichanganyaga Kuchukua maujanja.

Tofauti za Mitazamo zisitufanye Kudharauliana Kuna Baadhi ya Members unagundua tuu kasoma Heading halafu Moja kwa Moja akaenda kuporomosha Matusi kuna Comment ya ""Tukiwa wote wakulima nani atanunua''' ni Wazi huyu mtu hajasoma hata maneno niliyo yabold hapo juu akaingia Moja kwa Moja Kwenye Matusi.

Inferiority Complex ni Kubwa sana na sijui tutaiondoaje mtu anajikuta anaogopa tuu na Kuanza Kusifikia Kilimo Balaa, Kilimo nomaaa, Kilimo Kigumu Sanaaa! Leo hapa hata Ukimwambia Mtu Chukua Laki 5 nenda kachichimbie Singida Nunua Tetea 40 ambao hawajaanza Kutaga na Jogoo 6 ambao hawajaanza Kuwika Lazima Watu watakuja Kusema Unajua Kufuga wewe Kufuga ni Gharama, Kufuga kunahitaji Mtaji, Kufuga Ni Kipaji! Those kind of blah! blah! and excuses wakati Kuku wa Kienyeji wanajitafutia wenyewe hata kama ukikosa pesa ya Kuwanunulia Pumba Siku hiyo na dawa zake Nyingi hasa za tumbo ni 3,500= na Ile ya Matone hadi 7,000/=.

Sasa Kaa Pambanua Mwenyewe Uendelee Kusubiri Mpaka Utakapokua Rais then Ustaafu kama Kikwete ndo Ulime au Uchakarike na Kiasi Kidogo ulichonacho Ku extend capital.
Yaani mleta mada wewe unamlinganisha Raisi mstaafu anayelima kwa hobby na graduate anayetafuta maisha?

Samahani kafikirie tena mara nyingi tu nikikwambia hoja yako ni ya ki pumbavu sana!!!!Very stupid of you???.....lam thinking of right names to call you.....
 
mimi naomba nikuulize kitu.huyo ni mtu aliye anza kwenye kuajiliwa ndipo amepata pesa na kumalizia uzee wake kwenye kilimo.hivi unazani kilimo kikubwa kama jk.utataka upate kipato kingi una itaji kuwa na nini.au mwenzetu wa kishua
 
Si vyema kuamini nachokisema, maana kujifunza huwa hakuushii theory....nakuomba umalizie na practical za shamba utaleta ushuhuda.
Changamoto zipo na nimeshakutana nazo...zipo kwenye kila kitu kazini, biashara etc

Mfano nimekumbwa na mafuriko kwenye vitunguu,but hakunifanyi kukimbia....nasimama naanza na safari
 
Asante, naona umeanza kuelewa kabla hujaenda shamba.

Hii ndo ilikuwa point yangu, huwezi kumwambia mtu kwenda shamba kwa ushawishi mwepesi kwa kutaja taja figure za pesa ili kumtamanisha bila kumwambia kule kuna A,B,C zitakazokukwamisha.

Mfano;
1.mafuriko
2.ukame
3.seed born disease
4.soil born disease
5.soko

Na production factor nyingi zinazoweza ku-hinder production ili kufikia faida iliyokusudiwa.
 
Futa kauli yako kuwa NIMEELEWA KABLA YA KWENDA SHAMBA

mi nipo shamba muda tu na si kwamba eti picha ya Kikwete ndio imenishawishi
 
Haha mkuu na mimi naomba CBA ya kile unachokilima na mimi nitende kama hutojali.
Hhahaha...ukitenda ninayotenda unaweza ukapotea maana mazingira huenda ni tofauti...
So angalia kwwnye mazingira yako na vitu vingine muhimu kabla hujajitosa
 
Back
Top Bottom