Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za Kujitolea

Ujinga Kama Huu Kamwe Hutaweza Kuendelea

Mpaka Sasa Mimi ni Mkulima Huku Shamba La

Ecre Moja bei gani?
Mbolea ya za Chumvi chumvi bei gani?

Mimi Binafsi Ekari tatu Bila Kutumia Kibarua Naweza Kulima huku kwetu Ekali Moja Kibarua analima kwa 15,000-20,000

Mkuu Endelea Kusubiri Upate 20,000,000 ndo Uanze Kulima.
Mkuu kwenu ni mkoa na wilaya gani? Nataka kulima
 
Back
Top Bottom