Jakaya Kikwete akutana na naibu mkurugenzi kanda ya Afrika wa Gates Foundation ya Marekani

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI KANDA YA AFRIKA WA GATES FOUNDATION YA MAREKANI

5T7A4620.jpg

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa Gates Foundation ya Marekani, Haddis Tadesse, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,
 
Gates Foundation wanasponsor projects nyingi sana mavyuoni, acha aongee nao watoe ufadhili wa wanafunzi wa PhD nchi iendelee
Manake bongo kuna wasomi wachache sana, maprofessor hawafiki hata 200 na wote hawana research centers za ukweli
Kwa mashirika kama hayo ndo nchi zinapata researches za maana
 
Ifikapo June akishanyang'anywa huo Uenyekiti wa CCM, sijui atakuwa anakutana wapi na hao "wageni" wake.
KWA SHERIA HIPI;
YEYE NDO ALIPENDEKEZA KUMUACHIA MAPEMA ITAKAPOBIDI;

KUTOKANA NA MYUMBO WAUCHUMI; MPAKA SASA HAIJAELEWEKA KM ITAKUWA NCHI YA VIWANDA AU KILIMO.

HAKUNA DIRA YOYOTE INAYOONYESHA ATA MSINGI WA KIWANJA CHA KIWANDA.

WAMKABIDHI 2017. KAMA MPK SASA 80% WANAKAIMU NAFASI.

WAMUACHE JPM , AMALIZE KAZI SERIKALINI , NDO WAMPATIE CHAMA 2017.
MTAZAMO
 
Mkuu

Kuhusu "myumbo wa kiuchumi" naona hapo umekua msemaji wa Serikali. Hivi ni lini Serikali ilitangaza huo myumbo?

Pili, serikali na chama ni vitu viwili tofauti, kumpa JPM uenyekiti wa chama unakuja by default ya yeye kuwa rais na sio matakwa ya JK au huo myumbo unaouzungumzia.
 
Nadhani chama kina fedha kidogo kwa ajili ya mkutano mkuu maalumu wa mwezi June vinginevyo ninavyomfahamu huyu mzee wetu maarufu lazima angepanda ndege kwenda marekani kuonana naye huyo mgeni hukohuko
 
Hawana sehemu ya kukwapua hizo pesa. Ingelikuwa kipindi kile wangefanya tu "reallocation"

Sasa hivi wamebanwa mbavu. Wanasomeshwa numbers kinguvu.
 
Back
Top Bottom