Jakaya foundation

Howard Amani

Member
Oct 11, 2012
5
0
Wakuu naomba kuulza kama kuna mwenye ufahamu na asasi inaitwa jakaya foundation..namba zao ni 0718104998..ina deal na mikopo
mbalimbaliii..plz help me..Nsije nkaingizwa mjini.
 
Ni matapeli, wanaibia watu kwa hilo jina. Baadhi washatiwa mikononi mwa polisi na wengine bado wanaendelea kusakwa. kwa hiyo mkuu wewe utakuwa msaada wa kutosha kusaidia kupatikana hao wengine kwa kuwaripoti kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe.
 
Nashukuru sana wakuu, naona hapa nimeshaingizwa mjini. Yaan wako dodoma sasa. Na wengine wawe makini.
 
Ni matapeli, wanaibia watu kwa hilo jina. Baadhi washatiwa mikononi mwa polisi na wengine bado wanaendelea kusakwa. kwa hiyo mkuu wewe utakuwa msaada wa kutosha kusaidia kupatikana hao wengine kwa kuwaripoti kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe.

Tatizo line wamesajili majina ya uongo. Yaan n shida mkuu
 
Wadau nimekutana na hii kitu naomba mwenye kujua ukweli kuhusu hii kitu anijuze kabla sijaingia mkenge.Ingia hapa Wapka.mobi
 
Ni matapeli, wanaibia watu kwa hilo jina. Baadhi washatiwa mikononi mwa polisi na wengine bado wanaendelea kusakwa. kwa hiyo mkuu wewe utakuwa msaada wa kutosha kusaidia kupatikana hao wengine kwa kuwaripoti kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe.

Mwenye jina hana hata habari
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom