Jakaya anahitaji semina elekezi

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
Salamu Wanajamvi! katika zile semina elekezi za Rais Jakaya Kikwete tangu mwaka 2006, William Ngeleja, Adam Malima na David Jairo hawakuwepo? Kama walikuwepo, mteule wao JK anauchukuliaje utendaji wao?

Nadhani yeye mwenyewe anahitaji semina elekezi ili naye ajifunze kuwawajibisha watendaji au wateule wabovu aliowapa dhamana ya kuongoza wazara na taasisi zake mbalimbali serikalini.Watanzania wamechoshwa na semina hizi kwa kuwa hazina tija kwa taifa na badala yake Rais mwenyewe ndo apewe semina elekezi.

NAOMBA KUWASILISHA
 
Yaelekea mshikaji anaogopa Li-mfumo.
 
Jamaa ni kilaza. wote aliowaweka hata nguvu ya kuwa-challange na ndo maana anawaogopa. Kwanza hapo alipo hajui hata ni maana ya kuwa rais.
 
We mtu ambae ajui,kwanini watanzania ni maskini utaelimisha vpi?na washasema serikali legelege unafikiri kuna nini hapo
 
Kikubwa wanachofanya kt hizo semina ni kugawana fedha za walipa kodi. Wanatafuta kila njia ya kuendelea kutunyonya.
 
Semina elekezi saa ngapi wakati yupo busy Marekani saa hizi??
yupo busy na 50 cent
 
attachment.php

Nakubaliana kabisa nawe maana nchi inavyokwenda haijatulia kabisa halafu yeye kila kukila anapanda pipa kwenda kustarehe na vimwana huko majuu, wakati wananchi wako gizani, tutafika kwa hali hii?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom