Jakaya aliamini meza akaweza, Magufuli akaamini chuma akafeli. Samia anaamini jela?

Binafsi hua naamini chadema ni kundi la wahuni, yamkini wakawa na jambo linalofaa lakini mimi simfurahii sana mwanasiasa anaye ponda kila kitu hata mazuri wao hua wanatukana tu, ndiyo maana hua nawaona ni wahuni tu.
Lumumba fc lini akaipenda chadema?
 
Ila magufuli alikuwa dikteta mbaya sana. Mateso aliyompa Bwana Mbowe ni wachache sana wangeweza kuvumilia bila kuachana na siasa.

Just imagine mtu anafikia hatua ya kubomoa jengo la umma ili kumkomoa Mbowe. Kwani baada ya Mbowe kuwa evicted wenye jengo NHC si wangeweza kumpangisha mtu mwingine ambaye angeweza kufanya biashara ile ile au nyingine na kuendelea kuliingizia kodi shirika na kodi serikalin.

Mwenyezi amlipe kwa kadiri alivyotenda ndugu magufuli.
Ameshalipa na anaendelea na malipo we husikii vyombo vya habari?
 
Lakink hakuteka na kuua watu na amemaliza vipindi vyake viwili. Mkweli amekanyaga katiba 2020 hata miezi mitatu hakumaliza na sasa yuko kuzimu anatumikia kifungo cha milele.
Hahahaa... Mwangosi na Dr Ulimboka walifanywa nini?

Hakuna Rais ambaye haui. Hii iko kote duniani. Urais unahitaji moyo mgumu ikibidi hata kuua watu wakati mwingine.

Acha uzembe!!
 
Sasa hivi yuko anakula adhabu ya milele. Kupenda sifa kumemponza.
Rafiki acha kuwa delusional. Hakuna adhabu ya milele.

Huyo yupo dunia nyingine kabisa kwa sasa akiendelea na mambo mengine.

Wewe pambana upate ugali unye. Ya kuzimu waachie walio huko.
 
Rafiki acha kuwa delusional. Hakuna adhabu ya milele.

Huyo yupo dunia nyingine kabisa kwa sasa akiendelea na mambo mengine.

Wewe pambana upate ugali unye. Ya kuzimu waachie walio huko.
Wa kuzimu kama walitemda maovu wanatumikia adhabu ya kabri. Tenda wema na wewe tusije tukakunanga kama wenzako.
 
Wasasa anapenda kusimuliwa na kisha kupokea mapendekezo ya wasimuliaji
Hii ni kawaida kwa marais wote wa Ki-Zanzibari wakipewa urais huku Taanganyika, sio kwao ulitaka wafanyeje, hakuna jinsi ni remote ya kundi flan lililotamalak huku bara, kwa sasa kwa upande ule wa usalama bado kundi magu linatamalak
 
Back
Top Bottom