Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
I think the law is clear about complaints related to election issues, everything should be challenged in court. I think and believe that it is nonsensical not to recognise the elected Head of State, said Judge Werema in a telephone interview with The Citizen We don
Kwanza Jaji Werema hazijui vizuri sheria za nchi halafu eti ndio mwanasheria mkuu wa serikali. sentenso hii 'I think' ina maanisha mtu hana uhakika; hivyo Werema hana uhakika na anachokisema: kama mwanasheria alitakiwa kusema 'it is stated that .... in the contstitution, election law 2010' na kutoa ufafanuzi kuhusu kukinzana kwake na kama kuna ukinzano ipi inashika hatamu (which one prevails?)
Kwa kuwataka Chadema waende mahakamani ni kutoa ushauri wa kuvunja katiba yaani Werema hakifahamu kifungu cha katiba 41(7). Na majuzi ameapa kuilinda, kuifuata na kuitete katiba, sasa inakuwaje leo hailindi, haitetei na haifuati?
Pia kuwatukana viongozi wa Chadema On the Chademas stand over President Kikwetes win, Judge Werema said Chademas decision was nonsense. (Ni mawazo na msimamo wa kijinga na kipumbavu kutomkubali Rais) Daily Nation: - Africa |Party rejects Kikwete poll win
Werema badala ya kujibu hoja anatoa matusi; alitakiwa kuongelea kupingwa kwa matokeo na sio kutomtambua Rais, bosi wake, aliyemteua na kumwapisha mara baada ya yeye, JK, kuapishwa . Hii inaonesha namna gani anaendeshwa au ni lapdog au ndio mwendelezo wa watendaji wabovu wa JK. Na matusi ya aina hii yatajaa magunia na mapipa ifikapo 2015!
Cha kushangaza baada ya Werema kustaafu na kwa muda utamsikia katiba mbovu kama walivyosema akina Warioba!!!!!!