Jaji Werema jiuzulu, umevunja katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji Werema jiuzulu, umevunja katiba

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Nov 16, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  “I think the law is clear about complaints related to election issues, everything should be challenged in court. I think and believe that it is nonsensical not to recognise the elected Head of State,” said Judge Werema in a telephone interview with The Citizen We don

  Kwanza Jaji Werema hazijui vizuri sheria za nchi halafu eti ndio mwanasheria mkuu wa serikali. sentenso hii 'I think' ina maanisha mtu hana uhakika; hivyo Werema hana uhakika na anachokisema: kama mwanasheria alitakiwa kusema 'it is stated that .... in the contstitution, election law 2010' na kutoa ufafanuzi kuhusu kukinzana kwake na kama kuna ukinzano ipi inashika hatamu (which one prevails?)

  Kwa kuwataka Chadema waende mahakamani ni kutoa ushauri wa kuvunja katiba yaani Werema hakifahamu kifungu cha katiba 41(7). Na majuzi ameapa kuilinda, kuifuata na kuitete katiba, sasa inakuwaje leo hailindi, haitetei na haifuati?

  Pia kuwatukana viongozi wa Chadema On the Chadema’s stand over President Kikwete’s win, Judge Werema said Chadema’s decision was ‘nonsense’. (Ni mawazo na msimamo wa kijinga na kipumbavu kutomkubali Rais) Daily Nation: - Africa |Party rejects Kikwete poll win

  Werema badala ya kujibu hoja anatoa matusi; alitakiwa kuongelea kupingwa kwa matokeo na sio kutomtambua Rais, bosi wake, aliyemteua na kumwapisha mara baada ya yeye, JK, kuapishwa . Hii inaonesha namna gani anaendeshwa au ni lapdog au ndio mwendelezo wa watendaji wabovu wa JK. Na matusi ya aina hii yatajaa magunia na mapipa ifikapo 2015!

  Cha kushangaza baada ya Werema kustaafu na kwa muda utamsikia katiba mbovu kama walivyosema akina Warioba!!!!!!
   
 2. jyfranca

  jyfranca JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  First of all, Attorney General Werema whom I studied with at university was not smart at all. I could not fathom how he got there, but any where there is lucky which goes to unqualified ones. He as Attorney general couldn't go in public and clashes press by saying that press complicated the polls by giving high anticipation of winning to Dr. slaa. It is preposterous, he as Attorney General should be neutral and let people air their views. I cannot disagree more with him, but in reality what I recall is that he graduated with pass grade , which is the lowest grade at UDSM
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :A S angry:
   
 4. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  if anything,his recent remarks have done more harm to his reputation as AG than kujikomba he wanted to do kwa aliyemchagua. amedhalilisha taaluma yake na amejidhalilisha yeye mwenyewe na familia yake. Wakati mwingine inakuwa vizuri kunyamaza. naamini alitoa comments zake kama mwanachama wa CCM na si kama mwanasheria mkuu! Ndiyo matatizo ya unazi kwa watendaji wetu wa serikali.
   
 5. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  Muendelezo wa madudu ya viongozi wa juu wa serikali ya bwana JK.
  Wanajiandalia kufungasha mizigo yao 2015
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Mi ningetoa comment zangu hapa lakini naogopa zitakuja kutafsirifa kama matusi..lakini kwa kweli huyu mzee ameniacha mdomo wazi kabisa kwa comment zake
   
 7. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #7
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Pass???!!! I wish we can follow the intelligence of all Kikwete appointees...
   
 8. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kujiuzulu si utamaduni wa watanzania labda washinikizwe kwa zomeazomea kama kashfa ya richmond.
   
 9. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa katiba aise maana nilitaka kujua 34 (3)
   
 10. lufunyo

  lufunyo Member

  #10
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S angry::A S angry::smile-big::smile-big:Mimi sioni tofauti ya Welema na akina Makamba, Chiligati na wengine kama hao ambao wakisikia jambo wanaropoka tu mara huyo mhuni, mzushi nk. Jk anabahati mbaya sana kwani angekuwa makini asingefanyiwa upuuzi huu. Miaka 5 iliyobaki inaonekana akina 'welema' watakuwa wengi zaidi kwani CCM wameshadataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:doh::doh::doh::doh::doh::doh:
   
 11. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  The truth is..birds with same feathers fly together..we ulitarajia Kikwete atafanya appointment ya mtu smart wakati yeye mwenyewe hayuko smart?? that is absolutely impossible na ndio maana hata appointment zake za watu smart huwaweka maeneo ambayo hawawezi kuonesha uwezo wao wa kusimamia mambo ili wasim-outsmart na kujijengea jina zaidi yake...
   
 12. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2010
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hiyo LapDog!:first:
  Kuna LapHyena! Lowassa
  LapPig! Chenge
  na LapVuvuzela huyu ni Mzee makmba.
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  You have got to be like him(JK) to be around with him......believe me
   
 14. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2010
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Yaani ni Kilaza darasani .Ni Pweza la miguu Nane.
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  JAJI mstaafu Werema.
  hii ni picha halisi ya majaji wetu hasa kwenye majukumu yao. najiuliza kama WEREMa ambaye ni mstaafu (ichukuliwe ana uzoefu mkubwa ktk tasnia ya sheria) anawakilisha ujumbe gani kwetu kuhusu maamuzi yake na majaji wengine hasa kwenye ishu zinazohusu uhai wa watu na taifa???

  Sijawahi kusoma precedent yake bado. naitafuta kama kuna mwenye access nayo atumwagie hapa tumsome huyu kilaza wa heshima
   
 16. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  if anything,his recent remarks have done more to his reputation as AG than kujikomba he wanted to do kwa aliyemchagua. amedhalilisha taaluma yake na amejidhalilisha yeye mwenyewe na familia yake. Wakati mwingine inakuwa vizuri kunyamaza. naamini alitoa comments zake kama mwanachama wa CCM na si kama mwanasheria mkuu! Ndiyo matatizo ya unazi kwa watendaji wetu wa serikali.
   
 17. The Good

  The Good Senior Member

  #17
  Nov 16, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hapa unachanganya mambo. Kama kweli ni mtu uliyesoma na jaji Wererema basi utakuwa umefanya kazi muda wa kutosha. Hivyo utakubaliana na mimi kuwa wapo watu ambao ufanisi wao wanapokuwa kazini hutofautiana sana na jinsi alivyokuwa shuleni.

  Sina nia ya kuchambua uwezo wa AG wetu ila nnachotaka kusema tujiepushe na mawazo kuwa vipanga wote huja kuwa watendaji wazuri au kinyume chake.

  Ni hayo tu mkuu
   
 18. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Werema hafai kabisa na kaliaibisha kabila letu ....... tutamkanya kimira
   
 19. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hiri rijama mbona rinafanya mambo ya ajabu kabisa mura!!!!! tutarichapa viboko rikija rikizo
   
 20. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  I dont want to imagine that the Hon Attorney General could not find a better and beffiting word than the word nonsensical. I dont want to believe that a judge of the High Court can utter such nasty words while talking to the press for digestion of the ordinary wauza maandazi. Lawyers are very much known for their humble, modest, inviting, welcoming and friendly english.
   
Loading...