Jaji Warioba: Vita ya Rushwa haiwagusi/inawakwepa viongozi wa Serikali

Kama Makonda yeye hiyo taasisi ya PCCCB ni toothless bulldog.
Haimuhusu wala haiko kwenye hadhi yake kabisa. Maana anayofanya waziwazi ingekuwa mwingine tumeshamsahau kabisa.
Ila kwa vile yeye ni mtoto mpendwa labda asubiri mfalme atakapo achia ufalme kwa hiari au kwa nguvu ndio atakapo shukiwa kama mwewe.
JINAI HAINA EXPIRED DATE
Tena RC Makonda kafanya nini jamani!? Kama kuna jinai kafanya semeni. Kusema ni bora kuliko kukaa nayo moyoni na kunun'gunika, utaishia kupata magonjwa yasiyo kuwa na tiba!
 
Na hapo ataozea jela labda akiri kujsa na kuwataja aliowagawia ili wamsaidie kurudisha. kama alivyofanya Prof. T
 
Sijamlaumu Mh.Warioba,namheshimu sana na nakubali kazi alizofanya.Tatizo langu ni kuwa hawa wazee wastaafu kwa ujumla wao wamekuwa kimya bila kukemea matendo yanayofanywa kinyume cha sheria.
Mchakato wa Katiba umehujumiwa wakati umetumia gharama kubwa kwa kodi zetu,hakuna anayethubutu kusema.
 
If that is the reason which prevented him from going to the court and sue the guy,then i doubt Judges who can't defend themselves?
I hope that's not it.But may be Superiour powers are being cast.
 
mapesa yanayobebwa kwenye msafara wa Rais na kugawiwa ma njiani yanatoka mfuko gani, yanabaki mangapi, yaliyobaki yanaenda wapi na yanakaguliwa na nani ??????
🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom