Jaji Warioba: Kuteswa ka Kibanda kulipangwa

Wengine wakati tukiwa tunapayuka hebu chukua dakika moja ufikirie kungolewa kucha kavu kavu! Maumivu yake yalivyo. Its not a joke this is serious, wafanyaji ni wazoefu.
 
Mimi naamini watanzania wamtaani wanawafahamu waovu na waalifu wengi sana nchini kwani ndo tunaishi nao mtaani.
nivema na wakati sasa kusaidiana na POLICE.
 
kwa kauli yake kibanda kasema sauti ilisika, "Afande mshuti" hapo kwenye red afande ni nani kama sio kova na wafuasi wake?
 
Kama Wangwe angekuwa aliuliwa na viongozi wa CHADEMA, nina hakika leo hii wauaji wasingekuwa bado wanatembea. Fikra zangu zinanipeleka kuamini waliomwua Wangwe walikuwa ni mahasimu wa CHADEMA kwa kufikiria kuwa kwa vile kulikuwa na kutokuelewana kwa namna fulani kati ya Wangwe na uongozi wa CHADEMA, basi watu wangeamini kuwa ameuwawa na CHADEMA, na hivyo kujenga hisia mbaya dhidi ya CHADEMA.

Nia haikuwa kumtia hatiani mtu yeyote bali ilikuwa kujenga hisia mbaya kwa wananchi dhidi ya CHADEMA. Haikushangaza hata hiyo kesi jinsi ilivyoisha. Bahati nzuri wananchi waligundua mwuuaji ni nani na hivyo hakuna aliyejenga hisia mbaya dhidi ya CHADEMA. Mission failed, this one is in the same direction, no doubt it will end up in the same manner.

Lakini kwa upande mwiingine inaweza kuwa ni mbinu ya TISS kwa manufaa ya mahasimu wa CHADEMA na TISS, idara ambayo inaonekana kuwa adui wa Watanzania walio wengi kwa kufanya kazi kinyume na faida ya wananchi. Hii TISS ndiyo inatuhumiwa kufanya kazi ya wizi wa kura kwaajili ya kuisaidia CCM na JK wakati wa uchaguzi wa 2010, ni TISS inayoshutumiwa kumdhuru na kutaka kumwua Dr. Ulimboka. Wamefanya unyama huu kwa namna inayofanana na ile ya Ulimboka ili watu waamini kuwa hata Ulimboka hakufanyiwa na wao, bali kuna kikundi fulani kinachofanya uhalifu huo. Hii itawafanya watu kwanza kuhamisha fikra zao kutoka kwenye tukio la Ulimboka na kwenda kwa Kibanda, na la pili itumike kama njia ya kuisafisha TISS kuwa haikuhusika katika tukio la Ulimboka. Mhusika wa hili ni yule yule wa tukio la Ulimboka, TISS.

sio insane. ndo kuunganisha matukio huko. warioba ameongelea kuwa hawakulenga kuiba kitu. so? walitaka kumpa adhabu. kibanda alikuwa mfanyakaz wa bosi wa cdm. wangwe alifariki katka mazngira ya kutatanisha. wangwe alikuwa cdm. kuna habar nying za ajab za zit
 
Utasaidiana vipi na vyombo vya usalama ambavyo ndivyo vinavyotuhumiwa kufanya maovu haya. Utakapotoa taarifa, nawe utapotea.

Mimi naamini watanzania wamtaani wanawafahamu waovu na waalifu wengi sana nchini kwani ndo tunaishi nao mtaani.
nivema na wakati sasa kusaidiana na POLICE.
 
Mbowe na Tanzania Daima wanayo siri ya Kutekwa na Kujeruhiwa kwa Kibanda

Salaam Wakuu,
Tasnia ya Habari kwa sasa imejawa na simanzi kutokana na kitendo cha kuvamiwa na kuumizwa na watu ambao hawajabainika walikuwa na lengo gani. Mimi kwa ujumla nimesikitishwa sana kutokana na tukio hilo na nawalaani wote waliohusika. Aidha, natumia fursa hii kumuombea ndugu yetu Kibanda apone kwa haraka ili arejee nyumbani salama kuungana na familia yake na hatimaye kuendelea na majukumu yake.

Baada maelezo hayo, naomba kwa pamoja tutafakari mambo yafuatayo;

  1. Juzi Jumanne tarehe 05/03/2013 kulikuwa na kikao cha wadau wa demokrasia nchini kilichoandaliwa na Kituo cha Demokrasia nchini (Tanzania Centre for Democracy – TCD). Wenyeviti wa vyama vyote vya siasa ni wajumbe na walipata barua za mwaliko kuhudhuria kikao hicho. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), FREEMAN MBOWE, ni miongoni mwa wajumbe walioalikwa. Hata hivyo, Mbowe alitoa udhuru ya kutohudhuria kikao hicho kwa madai kuwa atakuwa jimboni kwake, Hai kuhudhuria kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri wilaya ya Hai (Full Council). Hizi zote ni facts na mimi nikiwa miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho, nilimsikia ANTHONY KOMU, Mkurugenzi wa Utawala wa CHADEMA ambaye ndiye alimwakilisha Mbowe akitoa maelezo hayo.
  2. Hata hivyo, katika tukio la kuvamiwa na kuumizwa vibaya kwaAbsalom Kibanda, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri wa New Habari Corporation (2006), Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana Hospitali ya Taifa ya Mhimbili akimjulia hali ndugun yetu Kibanda.
  3. Pia hakuna uthibitisho kuwa Mbowe alienda jimboni kwake kama alivyodai wakati akitoa udhuru wa kutohudhuria kikao cha TCD.
  4. Kwa vile kwa zaidi ya miezi kadhaa sasa, KIBANDA amekuwa na mgogoro na Tanzania Daima gazeti ambalo linamilikiwa na FREEMAN MBOWE, na kwa vile KIBANDA ana siri nyingi sana za CHADEMA na kwa hali hiyo viongozi wa Chama hicho wanamuona kama ni adui, na kwa kuwa kitendo cha Mbowe kutohudhuria kikao cha TCD kilitumika tu kama ushahidi wa yeye kutokuwepo Dar es Salaam wakati wa tukio hilo na hivyo asiwe mshukiwa nambari moja, kitendo cha yeye kuonekana Hospitali ya Mhimbili akimsalimia KIBANDA, kilinishtua na kuniachia maswali mengi.

UHASAMA wa taifa (TISS) ni dhahiri mpo kazini mkijitahidi kupotosha ukweli ; Ni vyema mtafakari maswali haya ya msingi na siyo kukurupuka kama kawaida yenu;

  1. Je kuna uhusiano gani kati ya kampuni ya Freemedia inayomilikwa na Mbowe na CHADEMA?
  2. Je Tanzania Daima ni gazeti la CHADEMA?
  3. Je mhariri wa Tanzania Daima ndo mtunza siri za CHADEMA?
  4. Absalom Kibanda mwenyewe keshaweka wazi ameondoka Freemedia kwa kheri, nyie mnadai ameondoka kwa shari, je tumwamini nani?
  5. Absalom Kibanda amethibitisha yeye mwenyewe kwa kinywa chake ya kuwa alisikia sauti kutoka miongoni mwa watekaji na watesaji wake ikisema “afande m-shoot huyo” kwa hiyo UHASAMA wa taifa mnataka kutuaminisha ya kuwa Mbowe anamiliki jeshi la polisi?

Kwa kifupi hatudanganyiki.
 
sio insane. ndo kuunganisha matukio huko. warioba ameongelea kuwa hawakulenga kuiba kitu. so? walitaka kumpa adhabu. kibanda alikuwa mfanyakaz wa bosi wa cdm. wangwe alifariki katka mazngira ya kutatanisha. wangwe alikuwa cdm. kuna habar nying za ajab za zit

Wao si wanajifanya kuruka vihunzi lakini ukweli utabaki pale pale, mzimu wa ndugu yangu CHACHA WANGWE lazima utawatesa sana.
 
Mkuu mimi nashangaa sana POLISI sijui wanawaogopa hawa CDM, mazingira yanaonesha wazi kabisa kuhusika na hili tukio bado wana delay na ndiyo maana Serikali inalaumiwa kuwa haichukui hatua.
Akili zako zinakaribia kuingia kwenye hatua ya comma. Mkapa alihusishwa na mauaji ya watu 27 kule Pemba (2005).Kikwete, Shein, Karume wamehusishwa na uchomaji wa makanisa na mauaji ya Padri Mushi na mchungaji huko Geita. Kwa nini tusianzie hao? Pinda na Kikwete wamehusishwa na jaribio la kumwua Ulimboka kwa nini tusianze nao hao? Ushahidi uko wazi kabisa. Kamhanda kahusika mojakwa moja na mauaji ya Mwangosi, ushahidi uko wazi. Kwa nini tusianze naye huyo?
 
Nasi tumezidi kuilaumu serikali na hivyo maadui zetu kutumia mianya hiyo kutudhuru huku wakijua lawama zitawaendelea viongozi wa serikali[/QUOTE hawawezi kulikwepa hilo mji wa Dsm ukiwa mdogo saaana, ulikuwa na vituo vya polisi vikubwa vyenye hadhi. mf CENTRAL POLICE, OYESTERBAY POLICE, KILWA ROAD POLICE, MAGOMENI POLICE, CHANG'OMBE POLICE hivi vilihudumia mji mzima kwa ufanisi wakiwa na magari ya kutosha, sasa si mji tena ni jiji wewe mwenyewe shahidi ukuaji wa jiji umeendana na ujengwaji wa vituo bora vya kisasa kwa ajili ya polisi mpaka leo bado vituo hivyo hivyo ndo vinahudumia jiji, magari ndo yametoweka kabisa lawama apelekewe nani? ULINZI NI GHARAMA kama ilivyo kuendesha siasa na kuhudumia viongozi wakubwa wa taifa NYERERE alisema KUPANGA NI KUCHAGUA . kazi kwetu tunapanga nini? na tunachagua nini? ufahari wa magari mazuri ya kutembelea kama watawala na kuishia kwenye mageti yetu kisha kushambuliwa, au kuimarisha ulinzi kwa ujenzi wa vituo bora kuendana na upanukaji wa jiji na kuwawezesha vifaa bora na magari ya doria, walau utendaji ufanane na ule wa makampuni ya ulinzi yale makubwa kama ULTIMATE. binafsi naipenda saaaaaaana serikali yangu, lkn ktk kupanga na kuchagua nawakataaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Kova alishasema ule si uhalifu kwani hapakuwa na wizi wowote. Lile ni tukio la kisasi tu

naomba definition ya Uhalifu

Je mtekaji sio mhalifu?
Anayemjeruhi mwenzake sio mhalifu?
Jambazi sio mhalifu?
Mwizi sio mhalifu?

Nipatieni definition ya mhalifu ambaye anapelekea kufanya tukio la kihalifu, manake mmeshanichanganya sana na tukio hili kuliita sio uhalifu
 
UHASAMA wa taifa (TISS) ni dhahiri mpo kazini mkijitahidi kupotosha ukweli ; Ni vyema mtafakari maswali haya ya msingi na siyo kukurupuka kama kawaida yenu;

  1. Je kuna uhusiano gani kati ya kampuni ya Freemedia inayomilikwa na Mbowe na CHADEMA?
  2. Je Tanzania Daima ni gazeti la CHADEMA?
  3. Je mhariri wa Tanzania Daima ndo mtunza siri za CHADEMA?
  4. Absalom Kibanda mwenyewe keshaweka wazi ameondoka Freemedia kwa kheri, nyie mnadai ameondoka kwa shari, je tumwamini nani?
  5. Absalom Kibanda amethibitisha yeye mwenyewe kwa kinywa chake ya kuwa alisikia sauti kutoka miongoni mwa watekaji na watesaji wake ikisema "afande m-shoot huyo" kwa hiyo UHASAMA wa taifa mnataka kutuaminisha ya kuwa Mbowe anamiliki jeshi la polisi?

Kwa kifupi hatudanganyiki.
haipingiki, huo uliotendeka ni uhalifu, unaoweza kufanywa na mtu mmoja akiwa amekodisha wahalifu watende jambo hilo kwa manufaa yake, kikundi cha watu kwa malengo yao au serikali kwa mtizamo wao au kukosea mlengwa, yote kwa yote KIBANDA amedhurika , yuko kitandani anaweza kuhisi sahihi au anajua kwa uhakika kwanini? amefanyiwa hivyo au asijue kabisaaaa. sisi sote tumebaki kuhisi, kuteteana kama vile ni watabiri au waganga wa kienyeji . neno afande; hili neno kinywa chochote cha mwanadamu kinaweza kulitamka si polisi, tpdf.magereza au makampuni ya ulinzi na wasanii . kama mtu unataarifa hata za kuhisi peleka ktk vyombo husika,
 
UHASAMA wa taifa (TISS) ni dhahiri mpo kazini mkijitahidi kupotosha ukweli ; Ni vyema mtafakari maswali haya ya msingi na siyo kukurupuka kama kawaida yenu;

  1. Je kuna uhusiano gani kati ya kampuni ya Freemedia inayomilikwa na Mbowe na CHADEMA?
  2. Je Tanzania Daima ni gazeti la CHADEMA?
  3. Je mhariri wa Tanzania Daima ndo mtunza siri za CHADEMA?
  4. Absalom Kibanda mwenyewe keshaweka wazi ameondoka Freemedia kwa kheri, nyie mnadai ameondoka kwa shari, je tumwamini nani?
  5. Absalom Kibanda amethibitisha yeye mwenyewe kwa kinywa chake ya kuwa alisikia sauti kutoka miongoni mwa watekaji na watesaji wake ikisema "afande m-shoot huyo" kwa hiyo UHASAMA wa taifa mnataka kutuaminisha ya kuwa Mbowe anamiliki jeshi la polisi?

Kwa kifupi hatudanganyiki.

Mimi sina chama, lakini napata shida sana kutenganisha, CCM na gazeti la uhuru, CHADEMA na gazeti la Tanzania Daima, mtandao wa JF na CHADEMA. Wewe najua lazima lazima utetee unga siyo kosa lako.

Achana na magazeti yenu ya kichonganishi hayo, weka link yoyote inayomuonesha KIBANDA akitamka kuwa kuna mtu alisema afande mshuti kama siyo maneno yenu ya kizushi na mkibanwa mnaanza kujamba jamba hovyo;

Wapi ABSALOM KIBANDA alisimama akasema ameondoka FREEMEDIA kwa heri? weka hiyo video hapa na hata kama amesema alifanya hivyo akifikiri anajisafisha kwa mafia wa CHADEMA na sasa atakuwa anajuta;

Eti kuna uhusiano gani kati ya freemedia na CDM, unauliza makofi POLISI mkuu, hvi ulishaona hata siku moja Tanzania daima wanaandika habari zaidi ya CHADEMA na kuikandia serikali halali tuliyoichagua kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania? Ni mtu ambaye akili yake imegandishwa na wanasiasa ndiye anaweza kusimama mbele ya watu na kusema hakuna uhusiano kati ya CDM na FREEMEDIA, au kati ya JF na CHADEMA. Heri ungesimama kwenye upotoshaji kuwa KIBANDA hajateswa na wabaya wake wa FREEMEDIA/CHADEMA badala ya kuendeleza u-mbu mbu mbu wako kuwa hakuna uhusiano wa CDM na FREEMEDIA.
 
naomba definition ya Uhalifu

Je mtekaji sio mhalifu?
Anayemjeruhi mwenzake sio mhalifu?
Jambazi sio mhalifu?
Mwizi sio mhalifu?

Nipatieni definition ya mhalifu ambaye anapelekea kufanya tukio la kihalifu, manake mmeshanichanganya sana na tukio hili kuliita sio uhalifu

Hapo Kova kachemka mkuu.
 
Siamini kama Kibanda alikuwa tishio kwa Chadema kwa namna yoyote ile. Kudai kwamba alijua siri nyingi za Chadema pia sio kweli kwani yeye hakuwa mwanachama wala kiongozi wa Chadema. Kibanda mwenyewe pia aliwahi kusema kuwa ameondoka vizuri FreeMedia na hana ugomvi wowote na mwajiri wake wa zamani. Haya mengine yanatoka wapi?
 
UHASAMA wa taifa (TISS) ni dhahiri mpo kazini mkijitahidi kupotosha ukweli ; Ni vyema mtafakari maswali haya ya msingi na siyo kukurupuka kama kawaida yenu;

  1. Je kuna uhusiano gani kati ya kampuni ya Freemedia inayomilikwa na Mbowe na CHADEMA?
  2. Je Tanzania Daima ni gazeti la CHADEMA?
  3. Je mhariri wa Tanzania Daima ndo mtunza siri za CHADEMA?
  4. Absalom Kibanda mwenyewe keshaweka wazi ameondoka Freemedia kwa kheri, nyie mnadai ameondoka kwa shari, je tumwamini nani?
  5. Absalom Kibanda amethibitisha yeye mwenyewe kwa kinywa chake ya kuwa alisikia sauti kutoka miongoni mwa watekaji na watesaji wake ikisema "afande m-shoot huyo" kwa hiyo UHASAMA wa taifa mnataka kutuaminisha ya kuwa Mbowe anamiliki jeshi la polisi?

Kwa kifupi hatudanganyiki.

Wacha kuleta propaganda za kizandiki. hivi kila anayecomment tofauti na mawazo yako ni TISS. Huko ni kukosa kujitawala na bila shaka mna mawazo kama ya Bi Kilembwe wa nchi ya Kusadikika.
  1. uhusiano ni wa moja kwa moja. Kwa kuwa Mbowe ndiye Mmiliki wa Kampuni ya Freemedia, na Kwa kuwa Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA, na kwa kuwa Mke wa Mbowe ndiye mtendaji mkuu wa freemedia bila shaka kutakuwa na mgongano wa kimaslahi. kwa msingi huo kutakuwa na mgongano wa kimaslahi na kwa hiyo huwezi kutofautisha command kama ya kiongozi wa freemedia au ya mwenyekiti wa CHADEMA.
  2. Gazeti la Tanzania Daima hutumiwa na CHADEMA kueneza propaganda zake dhidi ya serikali na CCM. Uhusiano uliopo ni wa kimaslahi na kwamba chadema na Tanzania Daima hufuata chain moja ya command.
  3. Anazo siri nyingi hususan mahusiano kati ya Tanzania Daima na CHADEMA na propaganda chafu zinazofanywa na gazeti hilo. katika kuthibitisha hilo, muangalie Kibanda ndani ya Tanzania Daima na Kibanda ndani ya Mtanzania. bila shaka utaona kuwa wako tofauti. ndani ya Mtanzania ni kibanda halisi na ndani ya Tanzania Daima ni Kibanda =mbowe=chadema
  4. unao ushahidi wa point namba 4? au ni kauli kutoka kwa wakubwa zako
  5. utatofautishaje na zile kauli za wakati wa tukio la ulimboka walipodai kuwa alimtambua mmoja wa askari aliyemtesa akiwa pale Muhimbili hospitali na alimtaka arejeshe walet yake? unakumbuka walipomshinikiza ulimboka awataje waliomtesa baada ya kurejea kwenye matibabu SA lakini yeye hakuwa tayari? mpaka akina kijo bisimba na usu malya wanasukuma gari la ulimboka na kumshinikiza aitaje serikali kuhusika na tukio hilo? kuonyesha kuwa aliyeconstruct maneno hayo ni mjinga, tafakari maneno hayo; afande-m-shoot huyo, bila shaka utagundua kuwa kuna walakini. katika vyombo vya ulinzi na usalama, anayetoa amri ni mkubwa ambaye walio chini yake hutumia neno AFANDE. kwa nukuu hiyo inaonyesha kuwa mdogo anatoa amri kwa mkubwa kitu ambacho si sahihi kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Nimepitia mafunzo ya JKT hivyo nina uhakika na ninachokiandika
 
Akili zako zinakaribia kuingia kwenye hatua ya comma. Mkapa alihusishwa na mauaji ya watu 27 kule Pemba (2005).Kikwete, Shein, Karume wamehusishwa na uchomaji wa makanisa na mauaji ya Padri Mushi na mchungaji huko Geita. Kwa nini tusianzie hao? Pinda na Kikwete wamehusishwa na jaribio la kumwua Ulimboka kwa nini tusianze nao hao? Ushahidi uko wazi kabisa. Kamhanda kahusika mojakwa moja na mauaji ya Mwangosi, ushahidi uko wazi. Kwa nini tusianze naye huyo?

unatumia majungu, na kujipendekeza kwa akina SAID KUBENEA, TUMAINI MAKENE, HELLEN KIJO BISIMBA NA SHEMEJI YANGU ANANILEA NKYA kama ushahidi kuwa uliowataja hapo walihusika na matukio hayo? watanzania bado kazi tunayo kama tutaishi kwa majungu hivi, hakuna atakayepona.
 
Siamini kama Kibanda alikuwa tishio kwa Chadema kwa namna yoyote ile. Kudai kwamba alijua siri nyingi za Chadema pia sio kweli kwani yeye hakuwa mwanachama wala kiongozi wa Chadema. Kibanda mwenyewe pia aliwahi kusema kuwa ameondoka vizuri FreeMedia na hana ugomvi wowote na mwajiri wake wa zamani. Haya mengine yanatoka wapi?

hivi unajua kwa nini kibanda aliondoka FREEMEDIA? kama hujui kitu kaa kimya tu na si kujitia unacomment halafu unajichanganya. hivi watanzania wote ni wafuasi wa vyama vya siasa? je wanaoisupport CHADEMA au CCM ni wanachama wa vyama hivyo? je kwa SABODO kuisaidia CHADEMA hapo una kauli gani wakati mwenyewe anajitangaza ni kada wa CCM? Tafakari na ukiona malue lue kaa pembeni na waachie werevu wajisosomolee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom