Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,372
Kazi kwao sasa , na waanzie kule alikokuwa akifanyiakazi kabla hajaondoka.Kova alishasema ule si uhalifu kwani hapakuwa na wizi wowote. Lile ni tukio la kisasi tu

Mkuu mimi nashangaa sana POLISI sijui wanawaogopa hawa CDM, mazingira yanaonesha wazi kabisa kuhusika na hili tukio bado wana delay na ndiyo maana Serikali inalaumiwa kuwa haichukui hatua.
mimi nachukia sana unafiki wa hawa watu, warioba, viongozi wa kijamii, viongozi wa kidini mlikuwa wapi Dr. Ulimboka alipokuwa analia kuwa amepigwa na maofisa wa ikulu. watu wote niliowataja hapo walikaa kimya isipokuwa wana harakati wachache ndio walijitokeza kuiomba ikulu itoe maelezo kuhusiana na tukio hilo. kwanini viongozi wote hao wasijitokeze hadharani kusimamia ukweli wakati muhimu wanapokuwa wanaitajika. leo wanaibuka na issue ya kibanda wakati hakuna tofauti yeyote katika issue hizi mbili.
vipi raisi awawajibishe ikiwa yeye mwenyewe ahitaji kuwajibishwa kwa maswala mengine uchafu hauwezi kujiondosha.
Police ya Tz hovyo kabisa,jana kovu anaulizwa over 24hrs hakuna aliyekwisha kamatwa anaongea blabla nyingi,mda wote huo?
Kova alishasema ule si uhalifu kwani hapakuwa na wizi wowote. Lile ni tukio la kisasi tu
mimi nachukia sana unafiki wa hawa watu, warioba, viongozi wa kijamii, viongozi wa kidini mlikuwa wapi Dr. Ulimboka alipokuwa analia kuwa amepigwa na maofisa wa ikulu. watu wote niliowataja hapo walikaa kimya isipokuwa wana harakati wachache ndio walijitokeza kuiomba ikulu itoe maelezo kuhusiana na tukio hilo. kwanini viongozi wote hao wasijitokeze hadharani kusimamia ukweli wakati muhimu wanapokuwa wanaitajika. leo wanaibuka na issue ya kibanda wakati hakuna tofauti yeyote katika issue hizi mbili.
Mbowe na Tanzania Daima wanayo siri ya Kutekwa na Kujeruhiwa kwa Kibanda
Salaam Wakuu,
Tasnia ya Habari kwa sasa imejawa na simanzi kutokana na kitendo cha kuvamiwa na kuumizwa na watu ambao hawajabainika walikuwa na lengo gani. Mimi kwa ujumla nimesikitishwa sana kutokana na tukio hilo na nawalaani wote waliohusika. Aidha, natumia fursa hii kumuombea ndugu yetu Kibanda apone kwa haraka ili arejee nyumbani salama kuungana na familia yake na hatimaye kuendelea na majukumu yake.
Baada maelezo hayo, naomba kwa pamoja tutafakari mambo yafuatayo;
- Juzi Jumanne tarehe 05/03/2013 kulikuwa na kikao cha wadau wa demokrasia nchini kilichoandaliwa na Kituo cha Demokrasia nchini (Tanzania Centre for Democracy TCD). Wenyeviti wa vyama vyote vya siasa ni wajumbe na walipata barua za mwaliko kuhudhuria kikao hicho. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), FREEMAN MBOWE, ni miongoni mwa wajumbe walioalikwa. Hata hivyo, Mbowe alitoa udhuru ya kutohudhuria kikao hicho kwa madai kuwa atakuwa jimboni kwake, Hai kuhudhuria kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri wilaya ya Hai (Full Council). Hizi zote ni facts na mimi nikiwa miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho, nilimsikia ANTHONY KOMU, Mkurugenzi wa Utawala wa CHADEMA ambaye ndiye alimwakilisha Mbowe akitoa maelezo hayo.
- Hata hivyo, katika tukio la kuvamiwa na kuumizwa vibaya kwaAbsalom Kibanda, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri wa New Habari Corporation (2006), Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana Hospitali ya Taifa ya Mhimbili akimjulia hali ndugun yetu Kibanda.
- Pia hakuna uthibitisho kuwa Mbowe alienda jimboni kwake kama alivyodai wakati akitoa udhuru wa kutohudhuria kikao cha TCD.
- Kwa vile kwa zaidi ya miezi kadhaa sasa, KIBANDA amekuwa na mgogoro na Tanzania Daima gazeti ambalo linamilikiwa na FREEMAN MBOWE, na kwa vile KIBANDA ana siri nyingi sana za CHADEMA na kwa hali hiyo viongozi wa Chama hicho wanamuona kama ni adui, na kwa kuwa kitendo cha Mbowe kutohudhuria kikao cha TCD kilitumika tu kama ushahidi wa yeye kutokuwepo Dar es Salaam wakati wa tukio hilo na hivyo asiwe mshukiwa nambari moja, kitendo cha yeye kuonekana Hospitali ya Mhimbili akimsalimia KIBANDA, kilinishtua na kuniachia maswali mengi.
Watu wengine kmtaja rais wanaona kama wame-win sana, hasa hapa Rais ameingiaje.
[h=5]Wakati Mtulia
[/h][h=5]Deus Amani na Ben wa saa nane .tunaomba msaada la hili la KIBANDA kwan Deus ulitumika kwa CHACHA WANGWE UKAFANIKIA na Ben ULITUMIKA KWA ZITTO KABWE HUKUFANIKIWA»» CHADEMA KWA UTAALAMU HUU INAHUSIKA KIFO HIKI»» CDM NI ZAID UJUAVYO
[/h]
Then viongozi wa jeshi la Police wajiuzuru kwa kushindwa kazi. Maana haina maana walipwe mishahara wakati kazi hawafanyi. Wao ni kutoa matamko hata kabla ya uchunguzi. Sasa kama Kova anasema ni waharifu mbona anashindwa kuwakamata?? Kuwaleta FBI ni ushahidi tosha kuwa hakuna kinachoendelea hapa. Rais anatakiwa kuwawajibisha hawa kwa vile kila mmoja wetu pamoja na serikali yenyewe wamekubali kushindwa kazi na ndiyo sababu wanatafuta msaada wa FBI!!
Matukio kama haya yawanakumbusha watu matukio yaliyopita na hasa pale yanapotokea katika mazingira yanayokuwa na mfanano fulani, hili la KIBANDA na lile la CHACHA WANGWE hayana tofauti, kwa hiyo watu wana haki ya kuzungumzia na pengine yanaweza kuwa ni msaada wa kuharakisha uchunguzi wa POLISI'Mie naona Kama jukwaa
Hili limevamiwa na ......... au nyie wenzangu mwaonaje, Topic inaongelea maoni ya warioba juu ya shambulio la raia Na huku watu wanacomment madude yasiyoendana Na Topic , typically this is insane..
Mbowe na Tanzania Daima wanayo siri ya Kutekwa na Kujeruhiwa kwa Kibanda
Salaam Wakuu,
Tasnia ya Habari kwa sasa imejawa na simanzi kutokana na kitendo cha kuvamiwa na kuumizwa na watu ambao hawajabainika walikuwa na lengo gani. Mimi kwa ujumla nimesikitishwa sana kutokana na tukio hilo na nawalaani wote waliohusika. Aidha, natumia fursa hii kumuombea ndugu yetu Kibanda apone kwa haraka ili arejee nyumbani salama kuungana na familia yake na hatimaye kuendelea na majukumu yake.
Baada maelezo hayo, naomba kwa pamoja tutafakari mambo yafuatayo;
- Juzi Jumanne tarehe 05/03/2013 kulikuwa na kikao cha wadau wa demokrasia nchini kilichoandaliwa na Kituo cha Demokrasia nchini (Tanzania Centre for Democracy TCD). Wenyeviti wa vyama vyote vya siasa ni wajumbe na walipata barua za mwaliko kuhudhuria kikao hicho. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), FREEMAN MBOWE, ni miongoni mwa wajumbe walioalikwa. Hata hivyo, Mbowe alitoa udhuru ya kutohudhuria kikao hicho kwa madai kuwa atakuwa jimboni kwake, Hai kuhudhuria kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri wilaya ya Hai (Full Council). Hizi zote ni facts na mimi nikiwa miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho, nilimsikia ANTHONY KOMU, Mkurugenzi wa Utawala wa CHADEMA ambaye ndiye alimwakilisha Mbowe akitoa maelezo hayo.
- Hata hivyo, katika tukio la kuvamiwa na kuumizwa vibaya kwaAbsalom Kibanda, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri wa New Habari Corporation (2006), Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana Hospitali ya Taifa ya Mhimbili akimjulia hali ndugun yetu Kibanda.
- Pia hakuna uthibitisho kuwa Mbowe alienda jimboni kwake kama alivyodai wakati akitoa udhuru wa kutohudhuria kikao cha TCD.
- Kwa vile kwa zaidi ya miezi kadhaa sasa, KIBANDA amekuwa na mgogoro na Tanzania Daima gazeti ambalo linamilikiwa na FREEMAN MBOWE, na kwa vile KIBANDA ana siri nyingi sana za CHADEMA na kwa hali hiyo viongozi wa Chama hicho wanamuona kama ni adui, na kwa kuwa kitendo cha Mbowe kutohudhuria kikao cha TCD kilitumika tu kama ushahidi wa yeye kutokuwepo Dar es Salaam wakati wa tukio hilo na hivyo asiwe mshukiwa nambari moja, kitendo cha yeye kuonekana Hospitali ya Mhimbili akimsalimia KIBANDA, kilinishtua na kuniachia maswali mengi.
Mie naona Kama jukwaa
Hili limevamiwa na ......... au nyie wenzangu mwaonaje, Topic inaongelea maoni ya warioba juu ya shambulio la raia Na huku watu wanacomment madude yasiyoendana Na Topic , typically this is insane..
Jaji mkuu mstaafu Jaji Sinde Warioba amedai kuwa kipigo na mateso aliyoyapata Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri nchini bwana Kibanda ni tukio la kupangwa na si la kiarifu kama ilivyodaiwa na Kamanda Kova mzee wa seriez.
Concern:
Kama ni mipango na mchunguzi mkuu (Kova) keshatoa taarifa za mwanzo kuwa ni uharifu tutarajie nini kama mtuhumiwa ajichunguze mwenyewe.
Haaiingii akilini hivi raia wa kawaida atatembeaje na bunduki (smg) usiku kama si askari?
Kazi kwao sasa , na waanzie kule alikokuwa akifanyiakazi kabla hajaondoka.