Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Kwani hujaolewa na yule mwana cdm aliyekupa mimba?

Mleta thread hakuna sehemu ameitaja cdm lkn wewe kwa kuwashwa na cdm umeiingiza kwenye upuuzi wenu.
Hahahaaaa....... Labda ni ukubwa wa kabila lenyewe au kanda.

2015 kanda ya ziwa ndio ilitoa wabunge wengi wa Chadema.
 
,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika,
huyo jamaa yako si aliwatukana wazee wastaafu akawaambia waache kuwashwa washwa, lakini kiuhalisia aliweka wasukuma kibao, kama kuna msukuma hakupata kazi kipindi hicho asahau.
 
Kutengeneza kumbukumbu namna hii inaonyesha jinsi gani roho ya udini ilivyo kukaa kisawasawa, kama una asilimia zaidi ya 95 ya wasomi waliobobea kwenye taaluma zao ambao ni wakristo ni jambo gani la kushangaza kukuta wakiwa wengi zaidi kwenye kuongoza taasisi na mashirika mbalimbali ya umma....
Wao walitilia mkazo elimu ya ahera wakaacha elimu ya dunia ambayo inatawala kila kitu.
Wao ni watu wa kulalamika siku zote,hebu jaribu kufikiria....
Rais.....mwislamu
Waziri mkuu.... mwislamu
Jaji mkuu.... mwislamu
Yaani mihimili yote ya nchi wamekamata ukiacha mahakama pekee,halafu wanalalamika.
Sasa hivyi behewa la wazanzibari limemwaga bara utafikiri huku ndo chakechake.

Mbaya zaidi marais wote waliopita wa upande huu ni yeboyebo ila kwenye udini walikuwa imara kusaidia wenzao Kama msumari
 
Utawaweza basi hawa makafiri.

Kwao wakiteuliwa wakristo 9 na muislamu mmoja sio udini.

Wakiteuliwa wakristo watano na waislamu watano huo kwao ni udini.

Wakiteuliwa wakristo 4 na waislamu 6 hapo ndo udini uliopitiliza.

Mipumbavu sana hii mijitu.
Sana
 
Hebu malizana na hawa makada wenzako ambao ni wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambao nao wanalia-lia kuhusu hili jambo.
CCM wanalia.jpg
 
Friends and Our Enemies...

Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao,

Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi,

Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gan,

Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika,

Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?

Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani

Wakristo watupuuuu

Wajumbe ;

Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika

Mwenyekiti Bodi;

Dkt. Alexander Kyaruzi

Mkurugenzi Mkuu

Tito Mwinuka

REA

Bodi ya REA ya Dkt Kalemani

Wakristo Watupu

Members:

1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member

Jaji Warioba hukuyaona haya?

Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;

*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma, Kanda ya Ziwa *

1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma

2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *

3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *

4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma

5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma

6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma

7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma

8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa

9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *

10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa

11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *

12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma

13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma

14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma

15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *

16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo

17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *

18. DG NSSF William Erio *Mkristo *

19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *

20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *

21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo

22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *

23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo

24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba Mkristo

25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo

26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale Mkristo

27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa Mkristo

28. DG NIDA Anorld Kihaule Mkristo

29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi Mkristo

30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo

31. Gavana Benki Florence Lwoga Mkristo

32. CG TRA Edwin Mhede Mkristo

33. CAG Charles Kichere Mkristo

34. SUMATRA Gilliard Ngewe Mkristo

35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-

The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu

1. Dr Maulidi Banyani NHC

2. Dr Athumani Ngenya TBS

3. Waziri Kindamba TTCL

4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority

Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote, ila inashangaza sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake tena competent ambao nao wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,

Uongozi unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Warioba amekuwa akitajwa kama Malaika vile kuhusiana na mapendekezo yake ya Katiba Mpya. Kwa Kuwa tu Warioba alisema hivyo, wahusika wanadai lazima tufuate. Leo Warioba amekuja na suala jingine ambalo haliwapendezi wengine. Amesahaulika mara kwamba yeye ndiye anayekaririwa kuwa mkombozi wa Taifa. Amegeuka kuwa mbaya.

Tukumbushane kuhusu madai ya Katiba Mpya. Naamini kabisa kwamba sehemu kubwa ya wanaoimba wimbo wa Katiba Mpya hawajui wala Katiba ya Tanzania ina ibara ngapi. Ukimuuliza mmoja nitajie ibara tano zo zote na kasoro zake hawezi. Niliwahi kumhoji mmoja hivyo akasema polisi wananyanyasa raia wema kwa kuwabambikiza kesi. Sasa kweli hilo ni suala la Katiba?

Ibara ya kwanza ya Katiba inazungumzia jina la Jamhuri. Jee kuna tatizo na hilo?
Kifungu kifuatacho kinataja mipaka ya Jamhuri. Kuna tatizo na hilo?
Mbele kidogo Katiba inasema nchi haitakuwa na dini ila kila raia ana uhuru wa kuabudu atakavyo. Jee, kuna tatizo na hilo?
Tunaweza kuendelea hivyo na tukagundua kwamba kuna mambo mengi tu ambayo hayahitaji kubadilishwa.
Katiba ya Marekani imedumu zaidi ya miaka 200. Huwa inafanyiwa marekebisho tu kulingana na mabadiliko ya nyakati. Kwa nini sisi tuingie kazi ya kuandika Katiba Mpya badala ya kushughulikia tu vipengee vyenye matatizo? Nimetaja mifano michache tu ambayo haihitaji kushughulikiwa. Hata kama nusu ya Katiba inabidi kurekebishwa, hakuna sababu ya kugusa sehemu ambazo hazihitaji hivyo. Kwa hiyo wito inabidi kuwa kurekebisha vifungu ambavyo vimepitwa na wakati. Siyo kuitisha Katiba Mpya.
 
Friends and Our Enemies...

Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao,

Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi,

Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gan,

Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika,

Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?

Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani

Wakristo watupuuuu

Wajumbe ;

Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika

Mwenyekiti Bodi;

Dkt. Alexander Kyaruzi

Mkurugenzi Mkuu

Tito Mwinuka

REA

Bodi ya REA ya Dkt Kalemani

Wakristo Watupu

Members:

1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member

Jaji Warioba hukuyaona haya?

Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;

*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma, Kanda ya Ziwa *

1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma

2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *

3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *

4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma

5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma

6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma

7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma

8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa

9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *

10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa

11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *

12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma

13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma

14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma

15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *

16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo

17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *

18. DG NSSF William Erio *Mkristo *

19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *

20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *

21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo

22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *

23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo

24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba Mkristo

25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo

26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale Mkristo

27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa Mkristo

28. DG NIDA Anorld Kihaule Mkristo

29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi Mkristo

30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo

31. Gavana Benki Florence Lwoga Mkristo

32. CG TRA Edwin Mhede Mkristo

33. CAG Charles Kichere Mkristo

34. SUMATRA Gilliard Ngewe Mkristo

35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-

The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu

1. Dr Maulidi Banyani NHC

2. Dr Athumani Ngenya TBS

3. Waziri Kindamba TTCL

4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority

Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote, ila inashangaza sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake tena competent ambao nao wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,

Uongozi unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Aiseee hayati bhana
 
Hii hoja uliitoa wiki Jana . Hukuridhika na uchangiaji wa members humu ?!. Mbona umeirudisha , au Una shida binafsi na Warioba ?!

Kuna njama za kutaka kumchafua Warioba kutokana na msimamo wake kuhusu Katiba waitakayo wananchi!! Hii thread ilishajadiliwa kwa kirefu sana halafu imerudishwa tena? Kunani?
 
Ndio maana tulishaimba mara kibao Rais ateue mawaziri na wakuu wa vyombo vya usalama hawa wengine iachiwe taasisi ya utumishi wa umma, zamani TAMISEMI walikuwa na utaratibu mzuri wa kuwapata wakurugenzi wa halimashauri uko wapi kwa sasa huo utaratibu nao wamekuwa wateule wa Rais... why? sababu ziko wazi SIASA!
Ma Rais wetu wanaangalia ni nani anamteua na atanufaika nae vipi that's all tuna mifano hapa ya watu walioteuliwa na marais huko nyuma baadae wakasababisha madhara makubwa kwenye jamii

1. MAKONDA aliteuliwa toka wing ya umoja wa vijana wa CCM
  • KIPINDI = Wakati nchi ikiwa katikati ya mjadara mkali wa katiba mpya ambayo CCM hawakuitaka
  • SABABU= Alisaidia kupambana na kuwavuruga watu waliokuwa wakiongoza harakati za kupata katiba bora.
  • Sifa yake kuu iliyo mbeba alithubutu kupiga hadharani Waziri mkuu msaafu Jaji JOSEPH SINDE WARIOBA Wakati wa mhadhara wa kujadiri katiba mpya na kufanikiwa kuvuruga kongamano.(uthubutu) na hakuchukuliwahatua yoyote ya kisheria hadi leo.
  • Cheo alicho zawadiwa MKUU WA WILAYA
  • RAIS wa wakati huo JK KIKWETE
  • Baadae Rais Magufuli alimuogezea cheo hadi kufikia kuwa Mkuu wa Mkoa kwa sababu hizo hizo zinazo fanana na za mtangulizi wake
2, SABAYA aliteuliwa toka wing ya umoja wa vijana wa CCM
  • KIPINDI = Wakati CCM inatafuta namna ya kuondokana na upinzani imara iliokutana nao katika uchaguzi wa 2015
  • SABABU = Alisaidia kupambana na upinzani mkubwa ulio kuwepo maeneo ya mikoa ya kaskazini.
  • Sifa yake kuu iliyo mbeba, alithubutu kufoji na kumiliki kitamburisho bandia cha usalama wa taifa.(uthubutu) alichukuliwa hatua za kisheria lakini mashitakadhidi yake yalifutwa kwa njia za utatanishi.
  • Cheo alicho zawadiwa MKUU WA WILAYA HAI
  • RAIS wa wakati huo JJP MAGUFULI
Hawa ni marais wawili mmoja mkristo mwingine muisilamu hapa dini hazina nafasi kabisa dini unazionea uteuzi mwingi wa marais wa tanzania kwa sehemu kubwa ni,
  1. SIASA
  2. MASILAHI(KISIASA AU BINAFSI)
  3. USWAHIBA
Hebu jiulize ni kitu gani kina weza kumfanya Rais kuteua Waharifu kushika nafasi muhimu katika utumishi wa umma,je hakuna vetting? hapana ni katiba mbovu inayompa madaka makubwa rais kuriko anavyo paswa ulevi wa madaraka kinakuwa ndicho kitu cha kwanza kumuathiri rais anaanza kutafuta namna yoyote itakayo mfanya astarehe bila bughudha kwa njia harali au haramu hiyo haijarishi.
Katiba mpya haiepukiki katika taifa hili.
 
Umetisha bwashee!

Hiyo orodha ya wateule ni kama Chadema ya wakati ule.

1. Katibu mkuu.............. Dr Mashinji ( Mkristo msukuma)
2. Naibu Katibu mkuu..... J J Mnyika ( Mkristo msukuma)
3. Chairman Bavicha........ Katambi ( Mkristo msukuma)

Labda ndio kabila lenye watu wengi!
Your head need to be scanned
 
Ujinga gani huu. Magufuli aliangalia weledi sio dini ya mtu. Nyie wenye kuhesabu wakristo na waislam ndio mnaondoa watu weledi Phds mnaweka waislaam wenye ujuzi kupiga hela ya umma.

Muhimu ni weledi na uadilifu wa mtu japo busara ya kiongozi inahitajika kwenye uteuzi.

Kuwaleta wafanya biashara wakubwa kwenye uongozi wa mashirika ya umma na watu wenye sifa za kutiliwa mashaka kwa kisingizio cha udini ni jambo halikubaliki.
Vigezo vya uteuzi vya JPM vilikuwa
1. msukuma
2. mwanaume
3. mkristo
4. weledi
2. utiifu binafsi kwake

Wengine walifanikiwa kutoboa kuanzia hapo kigezo namba 4. Ukiwa siyo msukuma, ni mwanamke na ni mwislamu ilibidi upige score kubwa sana kwenye weledi na utiifu binafsi, na ndivyo Ummy Mwalimu alivyofanikiwa kutoboa
 
Friends and Our Enemies.

Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao.

Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi.

Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gani.

Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika.

Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?

Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani

Wakristo watupuuuu

Wajumbe ;

Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika

Mwenyekiti Bodi;

Dkt. Alexander Kyaruzi

Mkurugenzi Mkuu

Tito Mwinuka

REA

Bodi ya REA ya Dkt Kalemani

Wakristo Watupu

Members:

1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member

Jaji Warioba hukuyaona haya?

Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;

*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma, Kanda ya Ziwa *

1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma

2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *

3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *

4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma

5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma

6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma

7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma

8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa

9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *

10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa

11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *

12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma

13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma

14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma

15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *

16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo

17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *

18. DG NSSF William Erio *Mkristo *

19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *

20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *

21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo

22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *

23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo

24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba Mkristo

25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo

26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale Mkristo

27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa Mkristo

28. DG NIDA Anorld Kihaule Mkristo

29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi Mkristo

30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo

31. Gavana Benki Florence Lwoga Mkristo

32. CG TRA Edwin Mhede Mkristo

33. CAG Charles Kichere Mkristo

34. SUMATRA Gilliard Ngewe Mkristo

35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-

The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu

1. Dr Maulidi Banyani NHC

2. Dr Athumani Ngenya TBS

3. Waziri Kindamba TTCL

4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority

Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote, ila inashangaza sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake tena competent ambao nao wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,

Uongozi unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Sina swali ,uko kikazi zaidi
Screenshot_20211102-214017.jpg
 
Kutengeneza kumbukumbu namna hii inaonyesha jinsi gani roho ya udini ilivyo kukaa kisawasawa, kama una asilimia zaidi ya 95 ya wasomi waliobobea kwenye taaluma zao ambao ni wakristo ni jambo gani la kushangaza kukuta wakiwa wengi zaidi kwenye kuongoza taasisi na mashirika mbalimbali ya umma....
Hiyo asilimia 95 kuwa wakristo pekee ndio wasomi waliobobea kwenye fani hizo umeipataje?
 
Back
Top Bottom