Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Wacha sasa na mimi nilalamike kwanini wachaga wengi ni madakitari na kwanini watanzania wasio wanaccm wanatelekezwa hawapewi uongozi japo kodi zao hazikataliwi.
 
Back
Top Bottom